Mchepuko umepagawa na huduma

Mchepuko umepagawa na huduma

Hudumia tu, ila athari zake utaziona baadae! Amini nakwambia, hakuna mtu dhaifu kwa mke wake.

Penzi la wizi ni sawa na athari zinazowapata wavuta madawa, huwezi kuziona leo.

Anakupamba sana kwa sababu bado anahitaji huduma zako. Ila yawezekana anamponda kwako ila akirudi kwa mumewe full respect.
 
Uzoefu au?
Pole sana mkuu, na ninakusikitikia sana kwa jinsi ulivyo na high level of stupidity.....
Yaani unaibiwa na mchepuko alafu unakuja kujisifia mbele ya wanaume...!!
Hivi wanaume tutabadilika lini..??
Maana hapo nina hakika wewe ni wakumuhudumia, alafu yupo dogo mwingine kwaajili ya kumkaza. Na inawezekana mchepuko ulisha kutambulisha kwa huyo dogo kwamba ni classmet wake.
Anyway, siku yakikukuta usije tu ukatumia bastola kama wenzako....
 
Hudumia tu, ila athari zake utaziona baadae! Amini nakwambia, hakuna mtu dhaifu kwa mke wake.

Penzi la wizi ni sawa na athari zinazowapata wavuta madawa, huwezi kuziona leo.

Anakupamba sana kwa sababu bado anahitaji huduma zako. Ila yawezekana anamponda kwako ila akirudi kwa mumewe full respect.
Kweli mkuu,imebidi nimpatie kitambi kama ukumbusho mkuu
 
Usije ukanyonga atakapobadili gia angani
Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili. Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
 
Back
Top Bottom