Mchepuko umepagawa na huduma

Ukiwa mwepesi wa kutoa huduma zote unapata bila kikwazo
Ndio, nakumbuka way's back nilipokuwa chuo. Kuna huyu Prof alitokea kuvutiwa nami, mwanzo nilimsumbua baadae ikabidi nimkubalie hakika niliyafurahia maisha ya chuo nimemaliza na GPA nzuri tu na sasa kanitafuta chuo nipo cyprus nachukua masters yangu. Wakati mwingine ni vyema kuachia tu lakni sio kwa kila mtu, hakikisha tu ni mtu ambaye ataweza kukushika mkono.
 
Kweli nakubaliana nawe, wako wengi waliofanikiwa kwa staili hiyo...ingawa ni wachache wanaosema kweli.
 
Kweli nakubaliana nawe, wako wengi waliofanikiwa kwa staili hiyo...ingawa ni wachache wanaosema kweli.
Sure, kuna institute moja hapo nyumbani, kuna watu wamebakizwa kwa kigezo cha ku mingle na instructors wale waliokuwa wanabana bila sababu maisha yamewapiga sana huko mtaani hadi huruma.
 
Unamsomesha unategemea akwambie nini? Yaonyesha ndio unaanza kukutana na wanawake. Watakumaliza.
 
Sure, kuna institute moja hapo nyumbani, kuna watu wamebakizwa kwa kigezo cha ku mingle na instructors wale waliokuwa wanabana bila sababu maisha yamewapiga sana huko mtaani hadi huruma.
Kweli mkuu,haya mambo yapo hata maofisini n.k
 
ulikuwa hujui? maana yake hauvitoi hivyo kwa mkeo nyunbani? duuh mkuu unahuzunisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…