Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Si unajua mkuu vitu vitamu ni garama? Ndio maana bei ya 'Range' ni tofauti na 'IST'Tatizo...vijana wa sasa hivi...WABISHI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua mkuu vitu vitamu ni garama? Ndio maana bei ya 'Range' ni tofauti na 'IST'Tatizo...vijana wa sasa hivi...WABISHI
Amenogewa mkuuMwache na yeye atafute wake wa maisha basi...
Ha ha ha haPambana mkuu, na huo ndio uanaume.
Maana ukihudumia vizuri, hata kama haujui kukaza... Lazima utasifiwa tu kwamba wewe ni fundi
Ndio, nakumbuka way's back nilipokuwa chuo. Kuna huyu Prof alitokea kuvutiwa nami, mwanzo nilimsumbua baadae ikabidi nimkubalie hakika niliyafurahia maisha ya chuo nimemaliza na GPA nzuri tu na sasa kanitafuta chuo nipo cyprus nachukua masters yangu. Wakati mwingine ni vyema kuachia tu lakni sio kwa kila mtu, hakikisha tu ni mtu ambaye ataweza kukushika mkono.Ukiwa mwepesi wa kutoa huduma zote unapata bila kikwazo
Kweli nakubaliana nawe, wako wengi waliofanikiwa kwa staili hiyo...ingawa ni wachache wanaosema kweli.Ndio, nakumbuka way's back nilipokuwa chuo. Kuna huyu Prof alitokea kuvutiwa nami, mwanzo nilimsumbua baadae ikabidi nimkubalie hakika niliyafurahia maisha ya chuo nimemaliza na GPA nzuri tu na sasa kanitafuta chuo nipo cyprus kwa sasa nachukua masters yangu. Wakati mwingine ni vyema kuachia tu lakni sio kwa kila mtu, hakikisha tu ni mtu ambaye ataweza kukushika mkono.
Kweli mkuu,mi namjali kwa kipindi hiki ninachomtumiaHao viumbe hawatabiriki kaka usijione kidume
Sure, kuna institute moja hapo nyumbani, kuna watu wamebakizwa kwa kigezo cha ku mingle na instructors wale waliokuwa wanabana bila sababu maisha yamewapiga sana huko mtaani hadi huruma.Kweli nakubaliana nawe, wako wengi waliofanikiwa kwa staili hiyo...ingawa ni wachache wanaosema kweli.
Hatari..hiyo kituUmesahau kuwa na mapenzi ya kweli, hapo hata blowjob utapewa kila siku kabla ya kwenda kazini.
ha ha ha haHaya mambo wala sio ya kujisifia, though michepuko inasaidia katika "balancing ya equation"...
Unamsomesha unategemea akwambie nini? Yaonyesha ndio unaanza kukutana na wanawake. Watakumaliza.Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili. Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Kweli mkuu,haya mambo yapo hata maofisini n.kSure, kuna institute moja hapo nyumbani, kuna watu wamebakizwa kwa kigezo cha ku mingle na instructors wale waliokuwa wanabana bila sababu maisha yamewapiga sana huko mtaani hadi huruma.
Kweli mkuu,sifa zote utapewaUnamsomesha unategemea akwambie nini? Yaonyesha ndio unaanza kukutana na wanawake. Watakumaliza.
Tayari anayo mkuu...mla cha mwenzie naye huliwaWhat killed the cat is not curiosity is the stupidity..akipata mimba usije kutuomba ushauri mkuu
ulikuwa hujui? maana yake hauvitoi hivyo kwa mkeo nyunbani? duuh mkuu unahuzunisha.Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili. Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Wa nje ni waziada tuulikuwa hujui? maana yake hauvitoi hivyo kwa mkeo nyunbani? duuh mkuu unahuzunisha.
ha ha ha ni kweli mkuu