Mchepuko umepagawa na huduma

Mchepuko umepagawa na huduma

Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili. Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Acha undezi boss hapo unachunwa tu! Wanawake hawako hivo unavomfikilia

Kaa utafakari hizo huduma huwa unatoboka kiasi gani cha pesa? Wekeza kwa mkeo na familia yako hao malaya ukiishiwa hawatakujua! Unabembelezwa kipuuzi kabisa na wewe unabembelezeka,
 
Kabla hujaolewa ? Harafu unaitwa mume nisaidieni kuelewa ndugu.
 
Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa.

Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili.

Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili.

Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Bado upo naye?

Tupe mrejesho
 
Katika kikao kilichopita tulikwisha kubaliana kwamba mwanamke anapenda apewe material stuff kisha ndio atoe tunda. Ila mwanaume anapenda ngono zaidi so lazma atoboke ili apewe tunda.
 
Umesahau kuwa na mapenzi ya kweli, hapo hata blowjob utapewa kila siku kabla ya kwenda kazini.
Sababu unahudumiwa tu? Wanawake ni wanafiki sana yani😅 na unafiki wenu hujidhihirisha siku huduma zikikata ghafla
 
Ndio, nakumbuka way's back nilipokuwa chuo. Kuna huyu Prof alitokea kuvutiwa nami, mwanzo nilimsumbua baadae ikabidi nimkubalie hakika niliyafurahia maisha ya chuo nimemaliza na GPA nzuri tu na sasa kanitafuta chuo nipo cyprus nachukua masters yangu. Wakati mwingine ni vyema kuachia tu lakni sio kwa kila mtu, hakikisha tu ni mtu ambaye ataweza kukushika mkono.
Hapa ulidanga kwa weledi! 😅
 
Sure, kuna institute moja hapo nyumbani, kuna watu wamebakizwa kwa kigezo cha ku mingle na instructors wale waliokuwa wanabana bila sababu maisha yamewapiga sana huko mtaani hadi huruma.
😅😅😅😅😅 kwahio unawasihi waachie kwa weledi sio? Vipi afya yako iko salama lakini maana unaweza ukafanikiwa upande mmoja mwengine ukajikuta umefeli
 
Katika kikao kilichopita tulikwisha kubaliana kwamba mwanamke anapenda apewe material stuff kisha ndio atoe tunda. Ila mwanaume anapenda ngono zaidi so lazma atoboke ili apewe tunda.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom