yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Acha undezi boss hapo unachunwa tu! Wanawake hawako hivo unavomfikiliaMchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili. Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Kaa utafakari hizo huduma huwa unatoboka kiasi gani cha pesa? Wekeza kwa mkeo na familia yako hao malaya ukiishiwa hawatakujua! Unabembelezwa kipuuzi kabisa na wewe unabembelezeka,