Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

Mkuu, mie nina mke zaidi ya miaka 20 lakini sina mchepuko. Hiyo fikra yako ya kutufanya wanaume tuna tabia ya kutafuta michepuko ONDOA.
Mkuu nakuomba kwa heshima utoe somo jinsi ulivyofanikiwa hilo ili wanandoa wengine tujifunze
 
Nyumba ndogo nina watoto nina mke na nina maza/
Cha ajabu nkipata mtonyo tu nakuwaza/
Raha tunapata wote ila nina toa changu/
Na unapokea bila ya huruma na ndoa yangu/
Unanivua koti, unanipa maji, unanipa majina ya kifalme unanipa hadhi/
Unanipa masaji, unanipa kazi ambayo hata nyumba kubwa huwa hainipagi/
Kutwa nne sita kwa sita unajipinda/
Nisikuzoee kila nikija mitindo mipya/
Mingine ya kitanga na kichina/
Nalia kama mtoto mpaka nashindwa kutaja jina/

NYUMBA NDOGO BY DIZASTA VINA

Mkuu anza Kufatilia Hip hop kuanzia leo
 
Hata sijui wanaume huwa mnahitaji Nini kutoka kwetu....tukiwa wabaya na wakorofi mnatucheat tukiwa wazuri na wacha Mungu mnatucheat Sasa sijui tufanyaje!
 
Endelea kubaki kwa mchepuko si unayataka mwenyewe
 
Hata sijui wanaume huwa mnahitaji Nini kutoka kwetu....tukiwa wabaya na wakorofi mnatucheat tukiwa wazuri na wacha Mungu mnatucheat Sasa sijui tufanyaje!
Bora tuwe vugu vugu a.k.a nyutro
 
Unawezaje kuomba ushauri kwenye masuala yahusuyo familia yako . nikikuambia wewe ni mdhaifu utakataa ? Umesema una mke mcha mungu alaf wataka nini tena mungu akupe
 
Ushauri wa bure wanaume mjifunze kubalance shobo. Ukiwa na mchepuko hakikisha uzito una elemea kwa wife home mzani huu haufati kanuni za beam balance.
 
Mkuu nipe namba yake serious kabisa litakwisha hilo
 
Hii nimeelewa


Hitimisho anatakiwa ajue kuna maisha baada ya ngono.
 
Nimependa ubeti wa mwisho... Lakini pamoja na yote imeshajiuliza kwamba kuna tofauti kati ya uzuri na utam? Kama hapana basi mke wako mzuri ila si mtamu.
 
mtimawachi unaona sababu tunafuaga huku tumenuna eeeh😁
Nimeona dada yangu,tatizo kuna wanaume wenzetu wanaharibu kwelikweli. Kwa mwanaume kama huyu sio tu kumfulia wakati umenuna,hata ukimpakulia nyama mpe kipande kimoja kidogo huku watoto ukiwajazia.
 
Wanaume mnaochepuka hakilisheni mnachepuka na mtu mwenye boyfriend ili kuondoa usumbufu.

Mpe sharti akichana na mtu wake ndio mwisho wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…