mwarabu wa dubai
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 317
- 307
Nguvu ya mchepuko sio mchezo wakuu wa humu ndani we sikia tu ila omba jambo hili lisikukute.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! hii hatari sana,na wanaume wenyewe ndo sisi
Mkuu nakuomba kwa heshima utoe somo jinsi ulivyofanikiwa hilo ili wanandoa wengine tujifunzeMkuu, mie nina mke zaidi ya miaka 20 lakini sina mchepuko. Hiyo fikra yako ya kutufanya wanaume tuna tabia ya kutafuta michepuko ONDOA.
Ashazoea kuchepuka ataoa mpk wanawake kumiMuongeze mchepuko awe mke kamili uwe na wake wawili wa ndoa kihalali
Bora tuwe vugu vugu a.k.a nyutroHata sijui wanaume huwa mnahitaji Nini kutoka kwetu....tukiwa wabaya na wakorofi mnatucheat tukiwa wazuri na wacha Mungu mnatucheat Sasa sijui tufanyaje!
Hii nimeelewaWewe tatizo lako kubwa,ni kuwa umeshindwa kutofautisha uati ya uzuri na Utamu! Mke wako ni mzuri lakini siyo mtamu Kama mchepuko wako,ambao nao siyo mzuri Kama Mkeo lakini ni mtamu! Na ndiyo maana nyumbani huna hamu ya kupiga game Kama unavyopiga kwa Mchepuko! Tafakari kabla ya hatari.
Nimependa ubeti wa mwisho... Lakini pamoja na yote imeshajiuliza kwamba kuna tofauti kati ya uzuri na utam? Kama hapana basi mke wako mzuri ila si mtamu.Michepuko mna nini lakin? Wakuu ninaandika kwa masikitiko na majonzi makubwa saana. Nimeoa takribani miezi Tisa sasa. Kama mjuavyo kwetu sisi wanaume hatuachi kuchepuka ikiwa ndo asili na hulka yetu.
Namshukuru Mungu,nimebahatika kupata mwanamke mzuri,mwenye upendo na pia Ni mcha Mungu. Tatizo ni huyu mchepuko niliye naye,anani control mnooo.Yaan ananifanyia visa sijapata kuona.
Inafikia nyakati Mke wangu simjali Wala kumheshimu tena,najikuta nguvu zote nazielekeza kwa mchepuko. Na mbaya Zaid mchepuko ananipeleka vile anavyo jisikia,namfanyia Mambo mengi kuliko hata ninayo yafanya kwenye familia yangu,
Lakini naambulia matokeo hasi kutoka kwa huyo mchepuko. Mchepuko anaweza kunihitaj hata saa tano usiku,ntajikuta nmedanganya kwa wife ili tu niweze kutoka.
Kuna nyakati mchepuko atanifanyia vitimbi na vibweka kiasi kwamba napoteza kabisa mood ya kazi. Nkirudi nyumbani,mke wangu namdanganya then atanifariji na kunitia nguvu na maisha yanaendelea.
Imefikia hatua nataka niachane kabisa na mchepuko,nashindwa kabisa yaan.ntampotezea Leo lakini kesho ntamtafuta Tena Bila kujali madhila anayo nifanyia.
Nimechoshwa na hii Hali wakuu,natamani kujinasua katika hii Hali ninayo pitia. Nahitaji kujikita kwenye familia yangu. Kinacho niumiza zaidi naweza kukaa hata wiki sijapiga game nyumbani,ila nataka kupiga tu game na mchepuko.
Mke wangu anakuwa mnyonge mnoo. Najutia saana kuwa na mchepuko,najitahid kutafuta njia nzuri ya kutoka na hatimaye kuacha kabisa.
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu ambao mmeoa. Kama unaweza please tulia na mke wako ili usipitie Hali ambayo naipitia.
Nb:Mke wangu Ni mzuri na ametimia kila idara kuliko hata mchepuko.
Cc Extrovert
Nimeona dada yangu,tatizo kuna wanaume wenzetu wanaharibu kwelikweli. Kwa mwanaume kama huyu sio tu kumfulia wakati umenuna,hata ukimpakulia nyama mpe kipande kimoja kidogo huku watoto ukiwajazia.mtimawachi unaona sababu tunafuaga huku tumenuna eeeh😁