Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

Achana na Mchepuko hawa ni majambazi wamchana na wanatumia nguvu za giza.Kumbuka siku ukikosa kazi au kipato utaachwa mchana kweupe.Fanya maamuzi magumu acha michepuko.
 
Achana na Mchepuko hawa ni majambazi wamchana na wanatumia nguvu za giza.Kumbuka siku ukikosa kazi au kipato utaachwa mchana kweupe.Fanya maamuzi magumu acha michepuko.
Dah kumbe unaeza jikuta umelogwa eee?
 
Niliwahi kuwa na mwanamke nikawa nawambia wenzangu kuwa najiona kabisa nikiwa nimekumbatia bomu ambalo linakaribia kulipuka lakini kulitupa siwezi.
Ila nilikuja kulitupa baada ya muda sana. Mkuu hakuna namna litupe usije kulipuka nalo
Aisee, ilikuaje mkuu wenda kisa chetu kinaendana
 
Huyo atakuwa kakuendea kwa babu Kigoma au Tanga ili umuache mkeo. Mara nyingi mchepuko anakuwa na kisirani na mke kwa sababu yeye hana mtu na anajitambua kuwa huwezi mpenda kama unavyompenda mkeo, hivyo atakuyumbisha makusudi tu ili akuharibie ndoa yako. Usiendekeze sana michepuko, hawana issue hata kidogo. Kumbuka, wanawake wengine si wa kuoa kwani wana mikosi na wanajijuwa. Piga chini haraka sana huyo changu asije kukuharibia ndoa yako.
 
Hao wadada wanaroga na wanaroga Sio utani. Sikuwa najua kuhusu uchawi ila upo na unafanya kazi

Pole tafuta namna ya kujinasua.
 
Siku ya mwisho ikifika shetani ataturuka sana yani ata ruka

meter 100 akae mbali atukane,maana kuna mambo watu tunafanya

tukidanganyana ni shetani ila tunamsingizia bure kaka wa watu,kaka shetani.
 
Acha yani hapo pona yake ni kutafuta mchepuko mwingine or else
Mkuu,nliwahi kuwa na mchepuko mwingine. Hii njia haikufanya kazi, yaani nlikuwa navutika tu kwa huyu.
 
Hao WADADA wanaroga na wanaroga Sio utani....sikuwa najua kuhusu uchawi ila upo..NA UNAFANYA KAZI.

Pole tafuta namna ya kujinasua.
Duh,hivi inaezekana kulogwa bila hata kunywa ama kula cha kwake mkuu?
 
Back
Top Bottom