Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana.
Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa.
Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu akaniuliza, Baby Brojust nina aidia ya kuvuna ile miti kuicharanga kuwa mbao na kuleta mjini kwa ajili ya kuanzisha workshop ya ferniture, yaani material zote zinakuwa kwangu mimi namtafuta fundi tu na vibarua.
Nikamjibu kwamba mimi sina uzoefu ngoja nina jamaa zangu nitawauliza. Basi akaniambia nitashukuru sana. Baada ya hapo tukaenda wote bafuni kuoga ili tuendelee na mechi.
Nawashukuru sana. Naomba mawazo yenu.