Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] una maneno wewe.Sadaka ni suna. MPE hela ya futari bwana
Ha haa..ushauri wako ni mzuri lkn huoni km atajisikia km ananyanyasika!? Me naona njia nzuri ni kumuacha tu kwa huu muda. Km me ni haramu,hela zangu haziwezi kuwa safi..!Mwambie awe anaijia hiyo hela, unamfuturu kwanza ndo unampa
Factious!Wana MMU
Salaam;
Me ni mkristo,nna mke na nimeoa kwa ndoa miaka zaidi ya 10 iliyopita.
Mambo ya Dunia nayo hayakwepeki,nna mchepuko wangu nilioanza nao mwezi uliopita.
Mchepuko wangu ni wa imani ya upande wa pili Muislam. Leo mida ya saa 7 kanitumia ujumbe kunijulisha kwamba,tulivyoonana juzi hatutaonana tena hadi mwezi mtukufu wa Ramadhani utakapopita. Mwanzo nilijua anatania,lkn baadae kaonyesha msisitizo.
Me nikamuuliza huo mwezi mtukufu si ni mwezi ujao? Kasema kuanzia mwezi huu inatakiwa kuanza kujiandaa kwa kuacha maovu. Na akasema huo mfungo wenyewe ukianza hata simu wala message nisimtumie.
Tatizo limekuja kwenye hela..! Anasema hela ya matumizi km inawezekana nimpe kabisa hela ya mwezi mzima,ambayo ni laki 3. Me nikamwambia kwanza sina hiyo hela ya jumla.
Akasema basi nimtumie kila siku elfu 10,nikamwambia sasa nitakutumiaje wakati hairuhusiwi? Anadai hela nitume tu hakuna tatizo eti nisipomtumia atakula nini?
Kusema kweli nimeshangaa,nataka nimwambie kuwa hizo hela ambazo huwa nampa ni kwa sababu ananipa huduma. Hivi kweli kuna haki bila wajibu? Hebu tusaidiane wanajukwaa.
Sikuizi naona wwengi wanafunga kama Fashion manake,pesa ya ftar inatoka kwa Hawara sijui wanajua au wanafanya tuu..Saumu za siku hizi watu wanashinda na njaa tu...ili kubana matumizi...lakini sio kiimani kabisa ya kufunga....
Mimi mchepuko wangu "sala" tano, hauli nyama ya nguruwe. Mimi nakula, baada ya kutoka kula tunaenda guest kwa ajili ya majambozi namla denda
Unaujua UISLAM kweli?Sadaka ni suna. MPE hela ya futari bwana
Hivi ni halali kupokea pesa ya hawara, hasa kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu? Sio haramu kweli hiyo?Kusema kweli nimeshangaa,nataka nimwambie kuwa hizo hela ambazo huwa nampa ni kwa sababu ananipa huduma. Hivi kweli kuna haki bila wajibu? Hebu tusaidiane wanajukwaa.
Kwani hamkuambizana kama uhusiano wenu ni wa nipe nikupe AKA anauza na wewe unanunua?
Sio Halali kupokea..Hivi ni halali kupokea pesa ya hawara, hasa kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu? Sio haramu kweli hiyo?