Mchepuko wangu hautaki mawasiliano mwezi mtukufu lakini hela unataka

Mchepuko wangu hautaki mawasiliano mwezi mtukufu lakini hela unataka

Mbona rahisi sana...si amekuambia usitume hata meseji?? Sasa ukituma hiyo pesa kwa mpesa si inakwenda kama meseji?? Wewe mtii tu na usiwasiliane nae kama alivyosema.
ILA MKUU ACHA UZINZI NI DHABI..!!!
 
achana nao huo mchepuko,,,.uambie umrudie mungu mwezi mtukufu,,. nawewe tubu makosa yako kwa kuwa na mchepuko,,..MICHEPUKO SIO DILI MKUU
 
Sikuizi naona wwengi wanafunga kama Fashion manake,pesa ya ftar inatoka kwa Hawara sijui wanajua au wanafanya tuu..

Mtihani mkubwa kwa sisi wafungaji ni kwenye upatikanaji wa hela ya futari.....hapo ndipo zinapo haribika saumu zetu......
 
Siujui. Nijulishe.
Huyo anaezini akapumzika wakati wa mfungo ni muislam?
Swali la msingi sana hilo! Na kibaya zaidi anafunga huku akiwa na uhakika wa kuirudia hiyo dhambi. Kweli maisha bila unafiki hayaendi. Hata hapa kuna watu ukisoma coment zao unaweza kudhani hawachepuki,hii dhambi ya uzinzi kwa kiwango kikubwa kila mtu inamhusu. Ila nyuma ya keybord kila mtu ni mtakatifu.
 
Siujui. Nijulishe.
Huyo anaezini akapumzika wakati wa mfungo ni muislam?
Kwanza hajapumzika maana anataka aendelee kupitia Tigonpesa mpesa airtel money etc

Eti izo ni "capacity charges"[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahaha shkamoo kaka.
Capacity charges hata Tanesco wamefuta, yeye anaendeleza.

Hivi mapenzi bila kulipia hayawezekani kabisa eeh? Dah, uzee nao taabu tupu.

Marhabaaaa, mi nimestaafu hayo mambo [emoji12]
 
posti za kulenga imani za dini za watu indirect sio tabia njema.
 
Back
Top Bottom