Mchepuko wangu hautaki mawasiliano mwezi mtukufu lakini hela unataka

Mwambie awe anaijia hiyo hela, unamfuturu kwanza ndo unampa
Ha haa..ushauri wako ni mzuri lkn huoni km atajisikia km ananyanyasika!? Me naona njia nzuri ni kumuacha tu kwa huu muda. Km me ni haramu,hela zangu haziwezi kuwa safi..!
 
Factious!
 
..watu hatujui hata tunaamini kitu gani. Dini ni mtindo tu kama ilivyo mitindo ya nguo.
 
Kusema kweli nimeshangaa,nataka nimwambie kuwa hizo hela ambazo huwa nampa ni kwa sababu ananipa huduma. Hivi kweli kuna haki bila wajibu? Hebu tusaidiane wanajukwaa.
Kwani hamkuambizana kama uhusiano wenu ni wa nipe nikupe AKA anauza na wewe unanunua?
 
Hivi ni halali kupokea pesa ya hawara, hasa kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu? Sio haramu kweli hiyo?
 
Mkuu naona dhana ya capacity charges inaingia hapa.

Ni unafiki kujifanya anafunga kukuchepusha huku hela ya kuhongwa au kujiuza anachukua bila kuifanyia kazi ni kama dhuluma fulani hivi.

Akubali kuendelea bila kufunga huduma zake au akubali kufunga na kufungiwa huduma.

Tumekua tunalalama kwenye capacity charges yaani wazalishe umeme wasizalishe utalipa ni ujinga hizo fedha mgaramikie wife wako mwambie mchepuko kwamba na wewe mwezi mtukufu huhongi unahudumia familia kikamilifu ili upate dhawabu pia.
 
watu wanapenda zinaa kwei kwei...so mkeo ndo wa kukufanyia hayo mengine, mchepuko ni dudu tuu....daily buku 10,,, so kbla ya hapo,, ulikuwa unapiga daily?? sheria kuu ya mchepuko lazima akutii bila shuruti....ibilisi wa head
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…