Think Hard
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 318
- 303
Sikuizi naona wwengi wanafunga kama Fashion manake,pesa ya ftar inatoka kwa Hawara sijui wanajua au wanafanya tuu..
Unaujua UISLAM kweli?
Anafuturuje ili hali hajafunga[emoji23] [emoji15] [emoji15]Mwambie awe anaijia hiyo hela, unamfuturu kwanza ndo unampa
Swali la msingi sana hilo! Na kibaya zaidi anafunga huku akiwa na uhakika wa kuirudia hiyo dhambi. Kweli maisha bila unafiki hayaendi. Hata hapa kuna watu ukisoma coment zao unaweza kudhani hawachepuki,hii dhambi ya uzinzi kwa kiwango kikubwa kila mtu inamhusu. Ila nyuma ya keybord kila mtu ni mtakatifu.Siujui. Nijulishe.
Huyo anaezini akapumzika wakati wa mfungo ni muislam?
Kwanza hajapumzika maana anataka aendelee kupitia Tigonpesa mpesa airtel money etcSiujui. Nijulishe.
Huyo anaezini akapumzika wakati wa mfungo ni muislam?
Kwanza hajapumzika maana anataka aendelee kupitia Tigonpesa mpesa airtel money etc
Eti izo ni "capacity charges"[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Marhabaaaa, mi nimestaafu hayo mambo [emoji12]Hahaha shkamoo kaka.
Capacity charges hata Tanesco wamefuta, yeye anaendeleza.
Hivi mapenzi bila kulipia hayawezekani kabisa eeh? Dah, uzee nao taabu tupu.
Marhabaaaa, mi nimestaafu hayo mambo [emoji12]
Kuhonga mwezi mtukufu na kununua futari[emoji23]Ya kuhonga, ya kuchepuka ama ya kununua futari?
Hehehe Mie ndio nataka nianze. (Sijaomba ushauri, FYI tu)
Kuhonga mwezi mtukufu na kununua futari[emoji23]
Nakwambia....hivi hujaacha utundu tu[emoji87]Hehehe kwaresma inageuka kwa-razma.
Kila la kheir kaka
Hehehe kwaresma inageuka kwa-razma.
Kila la kheir kaka
Nakwambia....hivi hujaacha utundu tu[emoji87]