kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Life is KARMA brother jifanye kidume "you *** it ,it will *** you twice"Wakuu
Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma.
Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye.
Tunasolve vipi hii case wataalamu?
Wakuu
Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma.
Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye.
Tunasolve vipi hii case wataalamu?
Kila mtu ana uhuru wa kujieleza shekh.acha watu waandike wanavyojisikiaIfike wakati Mods mtumie akili kurudisha hadhi ya JF. Mada za kipuuzi kama hizi ni aibu kuwepo jamvini.
Jiheshimu mzee wanguIfike wakati Mods mtumie akili kurudisha hadhi ya JF. Mada za kipuuzi kama hizi ni aibu kuwepo jamvini.
Ifike wakati Mods mtumie akili kurudisha hadhi ya JF. Mada za kipuuzi kama hizi ni aibu kuwepo jamvini.
Kwani ulikuwa unamnyandua mara kwa mara,sawa na mumewe?Wakuu
Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma.
Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye.
Tunasolve vipi hii case wataalamu?
Kwa kifupi DNA kama wakijua ukweli hawatoi majibu watakuzungusha ili kulinda ndoa isivunjikeDNA, ukikuta ni wako na huyo malaya usimbambikizie mwanaume mwenzako amtunze.
Washenzi sana hahahaKwa kifupi DNA kama wakijua ukweli hawatoi majibu watakuzungusha ili kulinda ndoa isivunjike