Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

🚮🚮🚮🚮🚮
 
Wakuu

Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma.

Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye.

Tunasolve vipi hii case wataalamu?
Mtoto aliezaliwa ndani ya ndoa, huna haki kisheria ya kusema ni mtoto wako.
 
Kulea mtoto asiye wako ni forever financial mistake, fanya namna ya kuwa na uhakika na huyo mtoto kwanza.
 
Wakuu

Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma.

Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye.

Tunasolve vipi hii case wataalamu?
Kwani kadi ya clinic kaandika jina la nani
 
Moderators nyuzi kama hizi ndio za kufuta, zinadhalilisha jukwaa wote tunaonekana hatuna akili
 
Back
Top Bottom