Siku mkeo akikuacha si utajitundika yarabyAma kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Mchepuko unampa nafasi kubwa hivo moyoni.Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Duuh! Elfu tatu huyo hata mkilana tuUtaendelea kujipigia, niamini mimi.View attachment 3328260