Acha matusi, hujui nine invest kiasi gani kwake, kuanzia biashara, usafiri, makazi na posho za matumizi kila week
Hapana majukum now yamekuwa mengiMkuu
Umeacha Mapishi
Mke wangu ana kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kuwa nacho, Sema mchepuko huongeza utamu wa ndoa Maana hakuna kitu kizuri kama kupendwa kwa dhati na mwanamke zaidi ya mmoja
Familia nishaiwekea misingi yote ambayo mwanaume unatakiwa kuiweka ili hata usipokuwepo haita adhirika, sasa mimi kujipa furaha kidogo pembeni ndio United faraNdio nilichokuwa namaanisha kasome vizuri comment yangu
Kwa nini uinvest kwa mchepuko fara wewe?
Mchepuko ni kutomba tu sio business partner wala mpenzi
Wanaume hata tuwe na michepuko always family comes first
Familia nishaiwekea misingi yote ambayo mwanaume unatakiwa kuiweka ili hata usipokuwepo haita adhirika, sasa mimi kujipa furaha kidogo pembeni ndio United fara
Wanaume mna tamaa sana,mnapenda mpa lini kila siku wanazaliwa wapyaUnauliza huwa tunafanyaje?
Mimi nikipenda naoa jumla hata namba 4 rukhsa
Ila sasa tulia kwa huyo mmoja
Michepuko haifai OA kama unaweza la sivyo vumilia tu au mhadithie tu wife si mchepuko kaolewa?
Itakuwa simulizi tu
Mchepuko alitaka nimuoe hata moe wa pili, mm nikasema siwezi maana dini hairuhusu ila sikutaka kuja kuleta mifarakano ya familia Ola nikamwambia nitampa huduma zote ndio maana nilimfungulia biashara, mpa usafiri na makaziSasa mchepuko alikupenda au alikuwa anakuchuna tu?
Kama alikupenda mbona kaolewa na mwanaume mwingine?
Hivi una akili kweli mwanetu au mchepuko alikuroga?
Unaongea usenge sana.
Umetahiriwa mara ya pili mjomba tulia tukupake dawa.Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Kwani umesahau nakupendaWanaume mna tamaa sana,mnapenda mpa lini kila siku wanazaliwa wapya
Yaani hawa ndio wana sababisha wazungu watuletee maazimioMpumbavu mmoja wewe
USSR
Mchepuko alitaka nimuoe hata moe wa pili, mm nikasema siwezi maana dini hairuhusu ila sikutaka kuja kuleta mifarakano ya familia Ola nikamwambia nitampa huduma zote ndio maana nilimfungulia biashara, mpa usafiri na makazi
Kijana subiri kupakwa mafuta,. Yaani ukamnyonye uchi mke wa mtu nyumbani kwa kidume mwenzioUtaendelea kujipigia, niamini mimi.View attachment 3328260