Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Saw
Wewe fara mmoja tu, huwa hatuwekezi kwa michepuko

Unakuja unajiliza tu hapa halafu unatamba misingi kwenye familia iko sawa

Acha modern women wawafundishe akili wanaume wajinga wajinga kama nyinyi
​
Sawa kijana ukikua utakuja kutambua hata mzazi wako sio kwamba alikuwa loyal siku zote kwa mama ako
 
This this old man,.
Eti yeye loyal while anamcheat mkewe😂😂
A man is polygamous in nature ndio maana hata mbugani unakuta kuna kundi la simba jike 10 na dume 1
Wanawake hamtaki kukubali hili
 
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii

Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Hahahaha.
Mkuu pole, tunashea maumivu, sote ni wahanga.

Mi mwenzako yashanikuta kama ya kwako, lakini ni tofauti kidogo, maana wangu alikata moto akiwa mjamzito.

Alinibebea mimba kama zawadi, lakini haikuwa ridhiki nikakosa vyote.

Ni mwaka wa tano, lakini mawazo na upendo haufutiki rohoni mwangu juu ya mwanamke huyo.
Nikizitazama picha zake maumivu yanarudi upya kabisa.

Natafuta wa kuziba pengo kwa umakini mkubwa, lakini sijapata wa utulie!
Nawe pia kubali matokeo, anza kutafuta wa kuziba pengo mwenye kubeba sifa kama za yule, ndiyo mtihani mkubwa sana.
 
Mwanangu kalianzishe usikubali nyapu iende Ivi Ivi hujawahi jirekodi utupe connection kesho tu anarudi min market....
Mbwai mbwai ... Vita ni vita muraaa
 
Aiseee pole sana mzee mwezangu vijana hawawezi kuelewa ilivyo ngumu kumpata mwanamke loyal ambae anakuamini 100%
 
Daaah sijui kama itawezekana, maana nilimfungulia mpaka min supermarket nikamnunulia hadi usafiri wa maana ila naona kaamua kumuachia mdogo wake hiyo market yeye kachagua kuolewa
Daah mini supermarket na gari! tatizo uliwekeza sana ndio maana unakuwa mgumu kumtoa moyoni.

Lakini mkuu kama ulikuwa unailowesha kweli hata akiwa mbali atakufata uiloweshe tena na tena
 
Ladies Ukipata chance yakuumiza hizi creatures ,. Hakikisha unaumiza kwelikweli Aisee

Weka namba ya mchepuko wako nimwekee ya bia moja☺☺
We mwanamke una roho mbaya sana kama unafurahia kumuona mwanaume kwenye maumivu
Ndio maana nasema kupata mwanamke genuine ni ngumu sana
 
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii

Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Pole
 
Mwanangu kalianzishe usikubali nyapu iende Ivi Ivi hujawahi jirekodi utupe connection kesho tu anarudi min market....
Mbwai mbwai ... Vita ni vita muraaa
Hapana sisi ni watu wazima, alijua nafasi yake kwangu ndio maana sikuwahi kujaribu hata kusuggest hilo
 
Back
Top Bottom