Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Oooh Lord🙆♂️🙆♂️🙆♂️Jamaa kamuhamishia mkoa wa mbali, na plan nifanye namna niandae mazingira niende huko hata nikanunue kiwanja nianze ujenzi

Na hizi mvua analombwa kila siku kavukavuAma kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Ila dini inaruhusu uzinzi? Au unachagua dhambi inayokufuraisha wewe!Mchepuko alitaka nimuoe hata moe wa pili, mm nikasema siwezi maana dini hairuhusu
Hama umfuate..Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Aliyemuoa atakula na mkewe...Acha matusi, hujui nine invest kiasi gani kwake, kuanzia biashara, usafiri, makazi na posho za matumizi kila week
Wee ni mnoma narobotatuSikumbuki kama nishawahi kua na mchepuko...
Yaani atafute mchepuko wa kuziba pengo la mchepuko.Hahahaha.
Mkuu pole, tunashea maumivu, sote ni wahanga.
Mi mwenzako yashanikuta kama ya kwako, lakini ni tofauti kidogo, maana wangu alikata moto akiwa mjamzito.
Alinibebea mimba kama zawadi, lakini haikuwa ridhiki nikakosa vyote.
Ni mwaka wa tano, lakini mawazo na upendo haufutiki rohoni mwangu juu ya mwanamke huyo.
Nikizitazama picha zake maumivu yanarudi upya kabisa.
Natafuta wa kuziba pengo kwa umakini mkubwa, lakini sijapata wa utulie!
Nawe pia kubali matokeo, anza kutafuta wa kuziba pengo mwenye kubeba sifa kama za yule, ndiyo mtihani mkubwa sana.
Duh si umuoeNakuelewa sana mwamba. Mimi mwenyewe nna mchepuko mmoja huo aisee niko nao miaka karibu 6 sasa. Kwanza niliukuta sealed, pili ni mdada anajielewa sana hana mambo mengi, msikivu, mpole, mtaratibu, na ananipenda balaa!
Mungu akatubariki na katoto ka kiume kana miaka mi 2 sasa. Sijui siku akipata mtu akataka kuolewa nahisi ntajitundika mie.
Sababu zake za kutafuta mchepuko unazijua?Yaani atafute mchepuko wa kuziba pengo la mchepuko.
Nyie jamaa aliyewaroga kafa.
Hana sababu ya msingi.Sababu zake za kutafuta mchepuko unazijua?
Au ndiyo unafiki wa Jf, kila mtu kaokoka na ni mwana maadili?
Masharti ya wazungu mkuu kwamba mke ni mmoja mpaka kifo.Duh si umuoe
Na anayemla mkeo pia yupo huko analaani kwanini huondoki hapo home ili apate nafasi ya kumla mkeo,naye kamiksi hivyo hivyo ulivyomiksi weweAma kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Pole sana ndo ukubwa ,tunajua maumivu unayopitia utapata mwingine michepuko ipo focus na wife.Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Hamia CHAPUTAAma kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Aisee 😂ndio maana nasema siku hizi ukimuona mpenzi wako ana huzuni usiharakie kubembeleza huenda kagombana na mpenzi wake