Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii

Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Huoni kuwa hilo ni jambo la heri kwa mtu unayempenda?

Wewe ulitaka awe mchepuko wako maisha yake yote? Huoni kuwa huo ni ubinafsi mbaya sana?
 
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii

Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Subiri siku mke akuache ndo uone
 
Kama huyo mumewe si mkatoliki basi akuoe na wewe ili usiwe mbali na aliyekua mchepuko wako mpendwa
 
Hamia huko umfate.....
Huku nyuma nawewe mkeo wamlishe mahindi

20250517_201848.jpg
 
Tatizo ameolewa na mtu hana uwezo mkubwa kiasi kwamba namuonea huruma mchepuko wangu atateseka huko
Muache akatengeneze familia yake, hali ya kiuchumi ya mume wake sidhani kama inakuathiri kwa namna yoyote ile. Ulishamuambia kumuoa haiwezekani kwa hiyo ulitaka aendelee kuwa mchepuko milele kisa wewe una uwezo?
 
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii

Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Nimecheka kwa sauti dah....! Nenda kampigie magoti mbele mume wake na uwaeleze kuwa hauwezi kuishi bila ya hiyo side plate, at least wahamie mitaa ya karibu na kwako ili haki yako ya raha na utamu uwe unaipata pale unapoihitaji. Usisahau pia kuomba ushauri kwa mkeo kwamba ufanyeje kwani mchepuko haujakutendea haki.
 
Sasa kama alikupenda kwa dhati kwa nini amekuacha? Hapo zilipendwa pesa na huduma zako tu. Anaye kupenda kweli ni mkeo tu acha ujinga braza
Kamuacha sababu na yeye alitaka kuwa na familia yake, huwezi kutengeneza familia na mume wa mtu.
 
Sasa unahuzunika nini? Si utaendelea tu kumpiga miti? Au ameolewa na kwenda Mkoa?
 
Back
Top Bottom