Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.

Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda".

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana. Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyonikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii?

Maana jamaa alivyo na roho mbaya, yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa. Sasa mimi nifanyeje?
Chai nyengine bwana!
 
Time heals ,just maintain patience and persistence
 
Hahaha

Hata wewe ulipooa mke wako kuna mwamba aliumia sana maana ndio alikuwa mchepuko wake tofaut yake wewe unakaa nae hapohapo mtaan hvyo mwamba anajimegea tu mkeo

Kwa hyo usiumie sana kizungu tunasema hyo n (both teams to score au gg)
 
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.

Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda".

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana. Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyonikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii?

Maana jamaa alivyo na roho mbaya, yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa. Sasa mimi nifanyeje?
Na we si uolewe
Muende sawasawa
 
Back
Top Bottom