Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Daah mini supermarket na gari! tatizo uliwekeza sana ndio maana unakuwa mgumu kumtoa moyoni.

Lakini mkuu kama ulikuwa unailowesha kweli hata akiwa mbali atakufata uiloweshe tena na tena
She deserved everything good from me, because she meant so much to me
 
Alikuwa hana kipengele, msikivu, mpole sio mtu wa makundi, alijua kuutuliza moyo wangu
Nakuelewa sana mwamba. Mimi mwenyewe nna mchepuko mmoja huo aisee niko nao miaka karibu 6 sasa. Kwanza niliukuta sealed, pili ni mdada anajielewa sana hana mambo mengi, msikivu, mpole, mtaratibu, na ananipenda balaa!

Mungu akatubariki na katoto ka kiume kana miaka mi 2 sasa. Sijui siku akipata mtu akataka kuolewa nahisi ntajitundika mie.
 
Nashukur kwa kuelewa na kuvaa viatu vyangu, huyu nina 10+ naye nimeanza nae akiwa chuo mwaka wa kwanza wakati huo mm nilishakuwa nimeajiriwa wizara flani, nikahakikisha hapati changamoto yoyote mpaka anaanza kazi sehemu flani nilimrecommend na kuhakikisha kila alichokitaka iwe, kazi nzuri, gari nzuri (audi), biashara nzuri hata makazi mazuri anapata. Sasa hapo mm nimekosea wapi.

Mi najua ndugu na wazazi wake ndio waliompush aolewe maana walisema ana kila kitu kazi, biashara , makazi n.k why haolewi
So kwa upande flani na muelewa
 
Mkeo akiwa genuine inatosha mkuu,. Mwache binti wa watu afurahie ndoa yake Mr Devil
Leejay, we used to love each other so much.
We have and had so much adventures and moments together
I can't let go
 
Nashukur kwa kuelewa na kuvaa viatu vyangu, huyu nina 10+ naye nimeanza nae akiwa chuo mwaka wa kwanza wakati huo mm nilishakuwa nimeajiriwa wizara flani, nikahakikisha hapati changamoto yoyote mpaka anaanza kazi sehemu flani nilimrecommend na kuhakikisha kila alichokitaka iwe, kazi nzuri, gari nzuri (audi), biashara nzuri hata makazi mazuri anapata. Sasa hapo mm nimekosea wapi.

Mi najua ndugu na wazazi wake ndio waliompush aolewe maana walisema ana kila kitu kazi, biashara , makazi n.k why haolewi
So kwa upande flani na muelewa
Dah.. mkuu we uliwekeza sana kwake.😄 Mimi pamoja na yote huyu wangu sijataka kujiwekeza sana naenda nae ki hip hop maana najua kuna siku isiyo na jina atatamani nayeye awe na mji wake. Kuna wakati niliwaza nimfungulie hata biashara ila nikasita. Japo matumizi madogo madogo nampa.
 
Mm ni loyal sana nikishakuwa na mchepuko mmoja basi sipendi kuwa na wengine zaidi, ili niweze kumuhudumia vizuri vile mwanamke anapaswa kuhudumiwa
Hahaa we jamaa bana..😄😄

Hakunaga mwizi loyal mkuu, we ukishakua na mchepuko ujue wewe ni fisi tuu hakuna loyalty tena hapo, so we ungejichapia tu hata ukiwa nao watano ni sawa.

Na pili usihudumie sana mchepuko maana kesho na keshokutwa huyo sio wakwako. Mchepuko hata uwe unampenda na kumhudumia kiasi gani, akijitokeza mtu serious akatangaza ndoa, mwanangu unaachwa asubuhi na mapema kabla hajawika jimbi 😆😆
 
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii

Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Hahaha
 
Mke wangu ana kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kuwa nacho, Sema mchepuko huongeza utamu wa ndoa Maana hakuna kitu kizuri kama kupendwa kwa dhati na mwanamke zaidi ya mmoja
Sasa kama alikupenda kwa dhati kwa nini amekuacha? Hapo zilipendwa pesa na huduma zako tu. Anaye kupenda kweli ni mkeo tu acha ujinga braza
 
Daah mini supermarket na gari! tatizo uliwekeza sana ndio maana unakuwa mgumu kumtoa moyoni.

Lakini mkuu kama ulikuwa unailowesha kweli hata akiwa mbali atakufata uiloweshe tena na tena
Na wake zenu wanafanyiwa ivyo ivyo na watu wao wa zamani karma is real
 
Back
Top Bottom