Mchepuko wangu kashauriwa bora azae kwanza na yeyote atakayepatikana

@suzie _barbie
Hivi jimbo lako limepata mgombea?
Niliona tangazo kuwa mbunge anatakiwa[emoji23][emoji23]
Ila Wewe[emoji23][emoji23]

Lipo wazi, ila inabidi aache kodi ya meza[emoji23][emoji23][emoji23], na kodi ya nyumba .

Asijali mimi siyo msumbufu kama mama j na sitomuomba mtoto , hahaha
 
Huyu ndg ameweka wazi kuwa mimba hampi katu kutokana na mchepu kukosa utulivu lkn pia hataki kumuacha.
Mimi naona kama hamtendei haki.
Umri unasonga
@DeepPond kama hutaki kumpa mtoto akapewa na mwamba mwingine then ujue mapenzi kwako yatapungua na unaweza kubaki danga tu .

Lazima atatengenza bond na baby daddy.So the decision is yours bro .
 
Kwenye lile bango kuna kipengele kilinikodha mno......mdomo uwe safi kwani kuna...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe je...Mdomo una kazi nyingi., Usipokuwa msafi inakata stimu.

Ila si mdomo tu, kucha pia na mwili kwa ujumla
 
Ila ushaur alioutoa shoga ake umenistua Sana,

afu Cha kusikitisha mamaJ kaupokea na kaahidi kuufanyia kazi[emoji26]
Hilo hata lisikuwazishe..
Sometimes mtu ukishauriwa huwezi kubishana na mshauri,hata kama hujaafikiana na huo ushauri unajidai tuu kuupokea na kuahidi kuufanyia kazi kumbe waaala huna hata mpango.
 
Hilo hata lisikuwazishe..
Sometimes mtu ukishauriwa huwezi kubishana na mshauri,hata kama hujaafikiana na huo ushauri unajidai tuu kuupokea na kuahidi kuufanyia kazi kumbe waaala huna hata mpango.
So true...Naweza kukubali ili maongezi yaishe but haimaanishi kuwa nitatekeleza.
 
Ndio sana..Bora huyo mtoto mpe wewe , mapenzi yataongezeka

You can tell her mwakani utampa mtoto ila ajirekebishe kwnza na ajiandae kuwa mama wa mtu
Wazo zur Sana, hebu nilijaribu
 
@DeepPond kama hutaki kumpa mtoto akapewa na mwamba mwingine then ujue mapenzi kwako yatapungua na unaweza kubaki danga tu .

Lazima atatengenza bond na baby daddy.So the decision is yours bro .
Kwa mlivoshaur, hili wazo nali-cancel
 
Mkuu,
Nmetembea na wanawake wngi Sana, miaka mingi Sana.

Sema hapa kwa uyu kitobo chake nmenasa, achilia mbali tammbia zake mbovu mbovu ila Ni mtamu balaa.

Hicho TU Ndo nmeshindwa kuchomoka
Sasa si ukubali kuacha mke oa huyo anayekufikisha ama?
 
Kuna wazo Lina niijia kwamba nipate mtu nnaefahamiana nae amzalishe TU kwanza Kisha aniachie[emoji848]
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]unashangaaa anaoa kabisa yaani usijaribu aseehh!!utajuta kama kumuacha muache,kama kumkeep mkiip!ila hilo ni ujinga wa hali ya juu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Huyo demu akili hana kwa kweli kashfa zote bado yupo!![emoji2][emoji2][emoji2]mi hapana aseehh!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…