Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huyu ndg ameweka wazi kuwa mimba hampi katu kutokana na mchepu kukosa utulivu lkn pia hataki kumuacha.Ndio sana..Bora huyo mtoto mpe wewe , mapenzi yataongezeka
You can tell her mwakani utampa mtoto ila ajirekebishe kwnza na ajiandae kuwa mama wa mtu
Mimi naona kama hamtendei haki.
Umri unasonga