DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #121
Ha ha ha ..Alorogwa hawezi kujitambua kuwa karogwa uchawi unapomkolea !
Mfano mwendawazimu unazani huwa anajitambua kuwa na wazimu?
Wale wanaomzunguka ndio wanaweza kumsaidia!
Wewe unahitaji nduguzo wakusaidie uokoke !
Hamna mkuu, Niko timamu KABISA. Usiwe na shaka[emoji4]