Nmekuelewa mkuu,Ni kweli ni risk sana tu ila wewe pia unapaswa kulaumiwa juu ya hilo. Unautumia udhaifu wake kujifurahisha kitu ambacho si kizuri kabisa.
Na bora ingekua unamfool kwa muda bt ulishaapa kua maisha yake ndivyo yatavyokua, ni wewe tu kupata uroda toka kwake.
Mkuu najua uko na mama J kwa ajili ya kufurahisha nafsi yako tu.Nmekuelewa mkuu,
Unanishaurije Sasa hapo mkuu
Dah[emoji848]Mkuu najua uko na mama J kwa ajili ya kufurahisha nafsi yako tu.
-Hutegemei kuzaa naye
-hutegemei kumwoa.
Je binti yako akipitia hayo utajisikia je?
Nakushauri umwache abahatishe kwingine..umri wa 27 kwa mwanamke jua la jioni hilo.
Usisahau kumpa mafao kabisa, hata kama mmenuniana, mwachie kitu cha kumbukmbu na kuanzia maisha plz.Dah[emoji848]
Mchepuko wako ni chakaramu sana si ajabu mkipata nae mtoto atasumbua pia.Nmekuelewa mkuu,
Unanishaurije Sasa hapo mkuu
Huyo akipata mtoto atamsumbua sana hadi bi mkubwa atajua fasta tuMchepuko wako ni chakaramu sana si ajabu mkipata nae mtoto atasumbua pia.
Kama inawezekana muache huru tu. Ama lah basi pateni mtoto nae coz nae ni binadamu na ana ndgu kama wewe na hienda pia anasumbuliwa juu ya hilo.
Kwa mwanamke miaka 27 huyo ni mkubwa mno akifika 30 huyo tayar ashachuja.
Ngoja niangalie Kwanza kumbadilisha tabia,Usisahau kumpa mafao kabisa, hata kama mmenuniana, mwachie kitu cha kumbukmbu na kuanzia maisha plz.
Japo huyo dada inaonyesha akili yake ndogo hasa nikifuatilia visa vyake..akili yake ndogo na vitu vya kiswahili...plz mwache tena kwa amani vinginevyo atakulaani mno kwa kumzeesha na usimzalishe wala kumuoa.
Unawaza nini kuhusu kesho yake?Ngoja niangalie Kwanza kumbadilisha tabia,
kumuacha ntaifanya Kama last option ikiwa juhudi zote kumbadilisha ntashindwa.
Uyu Bado namhitaji Sana mkuu,
Ukzingatia kumpata mbadala wake Ni kipengele kingine kigumu zaidi
Ohooo huwajui wanawake wewe.Kuna wazo Lina niijia kwamba nipate mtu nnaefahamiana nae amzalishe TU kwanza Kisha aniachie[emoji848]
Usemalo Ni SAHII,Unawaza nini kuhusu kesho yake?
Huyo naye mtu mkuu.
Najua umepanga utamuacha baadae labda ukipata mbadala lkn machozi yake hayatakuacha salama na itakuwa haki yake kukutolea machozi.
Kuna asubuhi ya mwanamke ikivuka baasi hatakuwa na chaguo zaidi ya kuhitaji mwanaume yeyote maadam anapumua.
Tatu hiyo kei unaichakaza hivyo humwonei hata huruma muoaji mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina uhakika akizalishwa ndio mwisho wenu...Na Ndo hapo Ugumu wa kipengele icho mkuu[emoji848]
Unaijua vizuri bond inayotengenezwa na watu wawili wakiza mtoto?Kuna wazo Lina niijia kwamba nipate mtu nnaefahamiana nae amzalishe TU kwanza Kisha aniachie[emoji848]
Ha ha ha.....Nina uhakika akizalishwa ndio mwisho wenu...
Upendo wako utapungua au kuisha kabisa.
Shida yake akili ndogo kama vile mzaliwa wa Pwani.
Angekuwa mwanamke wa kaskazini ungewekeza hadi ukome.
Uko sahihi sana Suzie.Unaijua vizuri bond inayotengenezwa na watu wawili wakiza mtoto?
That is why bby mama au bby daddy drama haziishagi
Ndio sana..Bora huyo mtoto mpe wewe , mapenzi yataongezekaDuh! Itakua balaa sio?
Na kizaazaa juuDuh! Itakua balaa sio?
Hata wanaume hawasahau???Uko sahihi sana Suzie.
Single parent huwa hamsahai mzazi mwenzie...utasikia baba mtoto wangu hahaha