Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu.

Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno


View: https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg

Mtoto alikua kavaa kanga tu kimtego, shanga na kikuku, ndani kipichu laini, aisee nilimrukia kuja akili zikaturudia tena ameunguza alichokua anapika.

Yammi popote ulipo hii ngoma kuanzia beat hadi sauti yako inafanya nimuonee wivu anaetoka na wewe.
 
Imebidi niende instagram kumpeleleza zaidi, huyu mtoto huyu atanifanya niuze bonds zangu za UTT

Screenshot_20240210_200307_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom