Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unistue tutinge wote church maana dunia inaelekea ukingoniHa haaa nacheka comment za Wana...😃😃😀😀 Nataka nianze kuhudhuria kanisani sasa wokovu ni sasa 🚶🚶
Swali zuri ndugu umeuliza hapa. Naomba nikujibu kwa ninavyoelewa. Katika tasnia ya filamu za kikubwa au porn industry , wanawake ndio wahanga wakubwa sana. Hii ni kwa sababu wanakutana na mambo ya kutisha na ya kusikitisha katika career yao .kivipi? Kwa mfano unakuta mwanamke anafanyishwa ngono na wanaume tofauti tofauti ,kiasi kwamba wakati mwingine inamlazimu kutumia madawa ya kumudu tendo .Hawa wacheza filamu za ngono mbona hufa umri mdogo na vifo vya utata kunani jamani?
Au midudu wanayofanywa huwaharibu akili zao au ushwetani mhhhh?
Dah asante kunijibu vizuri jibu lililo jitosheleza maana Kuna mcheza porn mwingine alikutwa kwake kafa mda mrefu Hadi mwili kuharibika, pia kumbe hata mbelezi kwenye uhuru na wao huwa bullied kiasi hicho, nimesikitika kweli kwa hawa warembo kuondoka mapema.Swali zuri ndugu umeuliza hapa. Naomba nikujibu kwa ninavyoelewa. Katika tasnia ya filamu za kikubwa au porn industry , wanawake ndio wahanga wakubwa sana. Hii ni kwa sababu wanakutana na mambo ya kutisha na ya kusikitisha katika career yao .kivipi? Kwa mfano unakuta mwanamke anafanyishwa ngono na wanaume tofauti tofauti ,kiasi kwamba wakati mwingine inamlazimu kutumia madawa ya kumudu tendo .
Pia muda mwingine hawa wanawake huwa wanapitia physical abuse mfano kupigwa wakati wa kufanywa, kuingiliwa kinyume na maumbile au kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja hivyo kupelekea maumivu ya mwili na pia verbal abuse ... Hapa ni unakutana sasa na zile pornography unakuta mwanamke anatukanwa matusi mazito mazito , hivyo basi mwisho wa siku hii hali inawaathiri kisaikolojia na kuwapelekea kuwa na msongo wa mawazo pamoja na sonona/ depression .
Katika ku overcome hii hali wengi wao hutumia madawa ya kulevya ili kuondokana na pia kupata confidence kufanya vitu vichafu /ngono mbele ya kamera in the name of pesa . Na ukiangalia madhila wanayopata wanawake kimwili na kihisia kwenye hii industry ni very disturbing Sana kiasi kwamba wengi wao hawawezi kustahimili muda mrefu hivyo basi solution la kudumu ni kujiua kwa njia yoyote ile ikiwemo utumizi mkubwa wa madawa ya kulevya . Ndio maana wengi wanakufa pasipo hata kufikisha hata miaka 50.
Na pia hata jamii inayowazunguka haitaki kuwa na marafiki na hao wachezaji picha za uchi kiasi kwamba wanajihisi hatia na huzuni hivyo wanaamua kujiua.
Na kingine pia kinachosababisha hawa akina dada kufa katika umri mdogo ni kwamba wengi hukutukanwa mitandaoni/cybebullying . Sasa basi kwa hali hii akiipitia mwanadamu wa kawaida basi hujihisi ametengwa na dunia mwisho wa siku huamua kuchukua maamuzi magumu na kujiua.
Kwa mfano pornstars kama Olivia Lua, Olivia Nova, August Ames, Turi Luv, na Shyla Stylez ni mfano wa mastaa waliokufa wakiwa bado na umri mdogo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo nilizotaja hapo juu.
Wa kwanza katika picha ni Olivia nova, Olivia lua pamoja na august anes wote hao ni marehemu.
View attachment 1844891View attachment 1844889View attachment 1844888
Ni lazima kiongozi kama wewe kumfaham huyu C*Daah alikuwa role model wa demu wangu
Ndio hivyo ndugu . Kwenye hii industry wanawake wanapitia mateso sana hadi huruma.ndio maana kuna nchi na pia baadhi ya states za Marekani hukohuko zinapiga vita filamu za ngono.maana zinaharibu jamii kwa kiasi kikubwaDah asante kunijibu vizuri jibu lililo jitosheleza maana Kuna mcheza porn mwingine alikutwa kwake kafa mda mrefu Hadi mwili kuharibika, pia kumbe hata mbelezi kwenye uhuru na wao huwa bullied kiasi hicho, nimesikitika kweli kwa hawa warembo kuondoka mapema.
Solution ni kumrudia mola haya Mambo ya duniani yakizidi ndo hvo kujiua tu mapema, hasa hizi porn jinsi wanawake hufanywa na wanaume wengi had huruma na jinsi wanawake ili uenjoy lazima uwe na hisia
Ha ha ha hakumuenzi marehemu wacha nipitie mafaili ya bangbros nione kama kuna kazi zake ni pigo kubwa kwa wanafamilia
Mkubwa kwani mpaka wacheza porn nao wanazushiwaHuo Utakua uzushi mkuu
Mchango mzuri Sana mkuu....[emoji120]Swali zuri ndugu umeuliza hapa. Naomba nikujibu kwa ninavyoelewa. Katika tasnia ya filamu za kikubwa au porn industry , wanawake ndio wahanga wakubwa sana. Hii ni kwa sababu wanakutana na mambo ya kutisha na ya kusikitisha katika career yao .kivipi? Kwa mfano unakuta mwanamke anafanyishwa ngono na wanaume tofauti tofauti ,kiasi kwamba wakati mwingine inamlazimu kutumia madawa ya kumudu tendo .
Pia muda mwingine hawa wanawake huwa wanapitia physical abuse mfano kupigwa wakati wa kufanywa, kuingiliwa kinyume na maumbile au kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja hivyo kupelekea maumivu ya mwili na pia verbal abuse ... Hapa ni unakutana sasa na zile pornography unakuta mwanamke anatukanwa matusi mazito mazito , hivyo basi mwisho wa siku hii hali inawaathiri kisaikolojia na kuwapelekea kuwa na msongo wa mawazo pamoja na sonona/ depression .
Katika ku overcome hii hali wengi wao hutumia madawa ya kulevya ili kuondokana na pia kupata confidence kufanya vitu vichafu /ngono mbele ya kamera in the name of pesa . Na ukiangalia madhila wanayopata wanawake kimwili na kihisia kwenye hii industry ni very disturbing Sana kiasi kwamba wengi wao hawawezi kustahimili muda mrefu hivyo basi solution la kudumu ni kujiua kwa njia yoyote ile ikiwemo utumizi mkubwa wa madawa ya kulevya . Ndio maana wengi wanakufa pasipo hata kufikisha hata miaka 50.
Na pia hata jamii inayowazunguka haitaki kuwa na marafiki na hao wachezaji picha za uchi kiasi kwamba wanajihisi hatia na huzuni hivyo wanaamua kujiua.
Na kingine pia kinachosababisha hawa akina dada kufa katika umri mdogo ni kwamba wengi hukutukanwa mitandaoni/cybebullying . Sasa basi kwa hali hii akiipitia mwanadamu wa kawaida basi hujihisi ametengwa na dunia mwisho wa siku huamua kuchukua maamuzi magumu na kujiua.
Kwa mfano pornstars kama Olivia Lua, Olivia Nova, August Ames, Turi Luv, na Shyla Stylez ni mfano wa mastaa waliokufa wakiwa bado na umri mdogo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo nilizotaja hapo juu.
Wa kwanza katika picha ni Olivia nova, Olivia lua pamoja na august anes wote hao ni marehemu.
View attachment 1844891View attachment 1844889View attachment 1844888
Changamoto za kazi ni kweli ila ndio hivyo inawa cost maisha yaoMchango mzuri Sana mkuu....[emoji120]
Hizo zote Ni chagamoto za kazi