dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... kumbuka alikuwa mcheza filamu za ngono umeambiwa!Mh!!apumzike kwa Amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... kumbuka alikuwa mcheza filamu za ngono umeambiwa!Mh!!apumzike kwa Amani
Kuna kitu moja hiyo siwez isahau kacheza anamfanyia mtu massage dooh hatar tupu.Mcheza filamu maarufu nchini Urusi Kristina Lisina Almaarufu Kama KRIS THE FOX usiku wa kuamkia Jana amefariki kwa kile kinachoongelewa ni kudondoka kutoka gorofa ya 22 Kwenye apartment alikokua akiishi uku akiwa ameshikilia sarafu iliyoandikwa maneno "you are always in my heart".
Marafiki wa karibu wa marehemu wanasema huenda marehemu amejiua kwasababu hivi karibuni Kris alkua akisumbuliwa na msongo wa mawazo na matatizo kadhaa kuhusiana na mahusiano yake na boyfriend wake wake Sasa RUSTAN.
Polisi wamesema uchunguz bado unaendelea na wamemshikiria boyfriend wa marehemu kwa mahojiano zaidi anaejulikana kwa Jina RUSTAN.
Ila ushahidi wa CCTV camera kutoka Kwenye jengo husika ulionyesha Kris aliingia Kwenye jengo akiwa peke yake akishikilia mfuko wenye chips uku akitafuna mpaka pale CCTV camera nyingine ilpomuonyesha akiwa anaanguka kutoka gorofani.
Kwa KiFUPI,
Kris the Foxx (klistina Lisina) alizaliwa mwaka 1992 SIBERIA nchini urusi, kabla ajaingia Kwenye tasnia ya filamu alkua mfanyakazi wa bank akiwa na elimu ya Banking and finance kutoka chuo kikuu Cha Moscow nchini urusi.
Atakumbukwa sana kwa mchango wake mkubwa Kwenye tasnia hasa katika kucheza filamu Kwenye mazingira magumu ambapo ni waigizaji wachache Sana wakike waliweza kuzimudu nafasi hizo.
Atakumbukwa pia uhusika wake uliotukuka Kwenye Filamu maarufu zaidi zilizoheat duniani kote alizowahi kushiriki Kama PRIVATE SPECIALS pamoja na YOUNG NYMPHOS 4.
NI PIGO KUBWA SANA KWENYE TASNIA, vilio na majonzi vimetawala pande zote kote duniani.
R.I.P Kris the foxx
Bwana ametoa, Bwana ametwaa[emoji26]View attachment 1844790View attachment 1844793View attachment 1844794View attachment 1844795View attachment 1844796View attachment 1844797
Aisee!Daah alikuwa role model wa demu wangu
Hayo mambo bhana...ni mazito mno kiroho..... kumbuka alikuwa mcheza filamu za ngono umeambiwa!
Pole Sana kwa msibaMcheza filamu maarufu nchini Urusi Kristina Lisina Almaarufu Kama KRIS THE FOX usiku wa kuamkia Jana amefariki kwa kile kinachoongelewa ni kudondoka kutoka gorofa ya 22 Kwenye apartment alikokua akiishi uku akiwa ameshikilia sarafu iliyoandikwa maneno "you are always in my heart".
Marafiki wa karibu wa marehemu wanasema huenda marehemu amejiua kwasababu hivi karibuni Kris alkua akisumbuliwa na msongo wa mawazo na matatizo kadhaa kuhusiana na mahusiano yake na boyfriend wake wake Sasa RUSTAN.
Polisi wamesema uchunguz bado unaendelea na wamemshikiria boyfriend wa marehemu kwa mahojiano zaidi anaejulikana kwa Jina RUSTAN.
Ila ushahidi wa CCTV camera kutoka Kwenye jengo husika ulionyesha Kris aliingia Kwenye jengo akiwa peke yake akishikilia mfuko wenye chips uku akitafuna mpaka pale CCTV camera nyingine ilpomuonyesha akiwa anaanguka kutoka gorofani.
Kwa KiFUPI,
Kris the Foxx (klistina Lisina) alizaliwa mwaka 1992 SIBERIA nchini urusi, kabla ajaingia Kwenye tasnia ya filamu alkua mfanyakazi wa bank akiwa na elimu ya Banking and finance kutoka chuo kikuu Cha Moscow nchini urusi.
Atakumbukwa sana kwa mchango wake mkubwa Kwenye tasnia hasa katika kucheza filamu Kwenye mazingira magumu ambapo ni waigizaji wachache Sana wakike waliweza kuzimudu nafasi hizo.
Atakumbukwa pia uhusika wake uliotukuka Kwenye Filamu maarufu zaidi zilizoheat duniani kote alizowahi kushiriki Kama PRIVATE SPECIALS pamoja na YOUNG NYMPHOS 4.
NI PIGO KUBWA SANA KWENYE TASNIA, vilio na majonzi vimetawala pande zote kote duniani.
R.I.P Kris the foxx
Bwana ametoa, Bwana ametwaa[emoji26]View attachment 1844790View attachment 1844793View attachment 1844794View attachment 1844795View attachment 1844796View attachment 1844797
Kabisa manake hata katika maandiko tunaambiwa Jesus alianza kumsamehe mwanamke malayaHakika,
na nna imani atampokea kwa mikono miwili
Msongo wa mawazo!Hawa wengi wao huwa vifo vya ajabu ajabu
Kwani kwa uelewa wako uzinzi ndo Ni Nini?Sema we jamaa ni mzinzi hadi mzinzi tena halafu mbaya zaidi unafikiri ni sawa na unajidanganyaga kuwa eti na muumba naye ameshaikubali hiyo dhambi! Yaani unateteaga uzinzi hadi unatia kichefuchefu!