TANZIA Mcheza filamu za ngono maarufu nchini Urusi, Kristina Lisina Afariki Dunia

TANZIA Mcheza filamu za ngono maarufu nchini Urusi, Kristina Lisina Afariki Dunia

Tanzia zipo nyingi ,adi huyu kristina naona JF mnaomboleza,kwel inabid tumuombee uko aendeko afike salama.
 
Mmomonyoko wa maadili unaitiksa dunia kila kona yaani.na the bitter truth ni kwamba jamii yetu ya kiafrika ndio wahanga wakubwa
Acha tu!

Alikuwa anasema kijana mmoja alipasua chupa karibu na nyumba yake, akatoka nje kwa kufungua mlango na kumuuliza kijana unafanya nini ?(pengine anaweza akawa na matatizo mengine anaweza kumsaidia).

Kijana akamjibu What's up! What'yu lookin' at?

Akasema miaka ya zamani US kumjibu mtu mzima hivyo anakuadhibu kutokuwa na heshima.
 
Narudia tena.
I love your calmness.
Yani huu utulivu wa kutoa hizi detailed information kwenye hii Tasnia ni mfano wa kuigwa kwa mtu yeyote anayependa kitu fulani.

One shud be this calm, proud, detailed na hobby yake.
Regardlessly.
Salute!!
[emoji120]pamoja mkuu[emoji4]
 
Duh hii tabia kumbe iko Hadi mbele,Mimi naona ni ujinga kuwatenga wakati hzo filamu zina watazamaji wengi wakisharizika sirini wanawashambulia na kuwabully

Wazungu wanajitahidi sana kuji modernize lakini bado matatizo yapo, Unafik ni tatizo kubwa la Maisha ya mwanadamu
 
Swali zuri ndugu umeuliza hapa. Naomba nikujibu kwa ninavyoelewa. Katika tasnia ya filamu za kikubwa au porn industry , wanawake ndio wahanga wakubwa sana. Hii ni kwa sababu wanakutana na mambo ya kutisha na ya kusikitisha katika career yao .kivipi? Kwa mfano unakuta mwanamke anafanyishwa ngono na wanaume tofauti tofauti ,kiasi kwamba wakati mwingine inamlazimu kutumia madawa ya kumudu tendo .

Pia muda mwingine hawa wanawake huwa wanapitia physical abuse mfano kupigwa wakati wa kufanywa, kuingiliwa kinyume na maumbile au kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja hivyo kupelekea maumivu ya mwili na pia verbal abuse ... Hapa ni unakutana sasa na zile pornography unakuta mwanamke anatukanwa matusi mazito mazito , hivyo basi mwisho wa siku hii hali inawaathiri kisaikolojia na kuwapelekea kuwa na msongo wa mawazo pamoja na sonona/ depression .

Katika ku overcome hii hali wengi wao hutumia madawa ya kulevya ili kuondokana na pia kupata confidence kufanya vitu vichafu /ngono mbele ya kamera in the name of pesa . Na ukiangalia madhila wanayopata wanawake kimwili na kihisia kwenye hii industry ni very disturbing Sana kiasi kwamba wengi wao hawawezi kustahimili muda mrefu hivyo basi solution la kudumu ni kujiua kwa njia yoyote ile ikiwemo utumizi mkubwa wa madawa ya kulevya . Ndio maana wengi wanakufa pasipo hata kufikisha hata miaka 50.
Na pia hata jamii inayowazunguka haitaki kuwa na marafiki na hao wachezaji picha za uchi kiasi kwamba wanajihisi hatia na huzuni hivyo wanaamua kujiua.

Na kingine pia kinachosababisha hawa akina dada kufa katika umri mdogo ni kwamba wengi hukutukanwa mitandaoni/cybebullying . Sasa basi kwa hali hii akiipitia mwanadamu wa kawaida basi hujihisi ametengwa na dunia mwisho wa siku huamua kuchukua maamuzi magumu na kujiua.

Kwa mfano pornstars kama Olivia Lua, Olivia Nova, August Ames, Turi Luv, na Shyla Stylez ni mfano wa mastaa waliokufa wakiwa bado na umri mdogo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo nilizotaja hapo juu.

Wa kwanza katika picha ni Olivia nova, Olivia lua pamoja na august anes wote hao ni marehemu.

View attachment 1844891View attachment 1844889View attachment 1844888

umejibu vizuri kiongozi, ahsante!

huwa inanishangaza sana.....yaani kama huyo marehemu ameacha kazi benki ameenda kwenye hiyo ya kuuza utu wake. huwa najiuliza pia ni hela kiasi gani hizo zinazowafanya wawe hivyo?!!!!
1. wanaingiliwa kinyume na maumbile na waume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja; tena wakati mwingine uume mbili zinalazimishwa kuingia kwa wakati mmoja,
2. wananyonya uume zinazotoka njia ya haja kubwa bila hata kusafishwa....hivi si wanakula uchafu kabisa wale? au wana namna pekee ya kujisafisha?
3. kulishwa manii kwa namna inayoleta kinyaa kabisa n.k
 
Ndio hivyo ndugu . Kwenye hii industry wanawake wanapitia mateso sana hadi huruma.ndio maana kuna nchi na pia baadhi ya states za Marekani hukohuko zinapiga vita filamu za ngono.maana zinaharibu jamii kwa kiasi kikubwa
kwani wamelazimishwa kucheza hizo muvi? vitu vingine bana ni kujitakia tu
 
Back
Top Bottom