Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

sema nini brother umeamua kutoa Shout out kwa mwanao tu ili aonekane ni MTU maarufu kumbe wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sishangai ukisema hivyo. Yeye ni maarufu kwa watu waliopo kwenye hii fani Tanzania. Na tulikua tukijikumbusha Enzi hizo. Sawa na tukiwangelea kina method mogela. Thomas kipese.. Hamis Gaga... walikua maarufu kwa tuliowaona kipindi chao. Huwezi kuelewa kwa kweli
 
Kuna mzee baba kaingia hapa ofisini kwangu Kama nusu saa hv, ana kitambi cha kishkaji mtu mzima flani hivi nimempatia huduma akasepa, huyu ni power ilanda...cjui mnamjua?
 
Kuna mzee baba kaingia hapa ofisini kwangu Kama nusu saa hv, ana kitambi cha kishkaji mtu mzima flani hivi nimempatia huduma akasepa, huyu ni power ilanda...cjui mnamjua?
Mbeba vitu vizito
 
mwana mwanza anaemkumbuka master clay,huyu alikuwa habari ya mjini bwana alikuwa mpole mstaarabu lakini shughuli yake haikuwa yakitoto
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu huyu Bro clay! Jamaa alikua anafundisha Tai kondo! Rest in Peace Clay Master , Nipo Mwanza kwa Sasa hakuna kitu àisee!
 
Sio huyu hata kidogo. Wengi wametumia jina hilo kutokana na kujifafanisha kwa kumpenda huyu. Alipokamatwa huyo unayemsema na kuona kwenye gazeti wengi tulistuka. Tukamtafuta sensei akasema nipo. Ni vijana walionipenda hao. Yani ni kama watu kujiita dame mkuu. .... mpaka huyu maarufi anaeimbwa kila siku hilo jina katoa hapo kwa huyu sensei
Hivi dame wa sinza yupo?
 
cc15db022ba471005cbb5d64f71e1aa8.jpg

Huyo wa kwanza kushoto ndio master kaini ndo alikuwa kiboko wa kharifa kiumbe moto
Mkuu George adolf yu wapi?
 
Vichaa tu hao mena bastola njoo urukeruke nikuvunje kiuno mbwa kabisa
 
Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Mkuu umetisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Khalifa kiumbe moto mpaka leo jina la Immanuel kaini halitofutika kwenye maisha yake.....
 
Back
Top Bottom