Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Brother respect kwako sana.

Una jua martial art ni kama maji moto, ukiacha kuyachochoea yana poa.

Very impresed na nyie wakongwe , nimekubali facts na jinsi mlivyokuwa mnatoa details.

Una muda gani katika mchezo??

Mkanda sio ishu , zile dojo za mtaani zimetoa watu mafundi sana, sababu hiii michezo ni usahihi wa vitendo, nguvu, stamina na spid.

Academy nyingi sana wanazingua tofauti na zamani
Mkuu pushing 40 been training since iwas like 10yrs old ,slowed down past ten yrs (by doctors recommendation) due to some heart condtions! Now am just packing my daughter with knowledge ,i pitty who would be her husband kama litatokea fumanizi.
Wish i could send some photo kwa msisitizo but u know how it is with identity and things we say in public
 
Damn , nime ku admire mkuuu. For sure yani .

Kama ungekuwa na son ingekuwa ni very bad news kwa wauza sura wa kitaaaaa.

Una mfundisha mchezo gani, au ndio misingi ming ming na combs mbalimbali.??

Au umempeleka academy then una top up ukipata time.

How du manage life la sasa, kazi na kupata extra time ya kutrain. Na fail hapo katika muda, bt mchezo ni mtamu sana ukikolea
 
Nimemwandikisha dojo ana train shotokan (ndio niliyo anza nayo mimi baadae nikaenda gojuryu ambayo iko vizuri kwa watu wa umri na uzito mkubwa )
When u settle in life iwill get time at least on week ends or some cool evenings!
We punguza maandalizi ya happy hrs unapata muda kama una msingi one hour is about it almost daily and more than i hrs if you do aweekly basis.
 
Mi nacheza mchezo wa hela .hata maadili ya michezo hii huyajui utabaki unachezesha miguu tu na viuno
Karateka mdomo kapovuka,
Kuhusu hela usiseme kitu utachekwa
Maana tunaongelea karate wewe unasema hela,na maranyingi MTU dhaifu wa jambo fulani ndo huwa maarufu kuwasema wengine juu ya hilo,
Haunijui unaongeaje kuhusu hela,
Wenye akili kubwa washakusoma
Shame karateka mdomo
 
acha bana . ivi umenielewa hapo nilovyo sema mi nacheza mchezo wa hela?
 
Nimemwandikisha dojo ana train shotokan (ndio niliyo anza nayo mimi baadae nikaenda gojuryu ambayo iko vizuri kwa watu wa umri na uzito mkubwa )
When u settle in life iwill get time at least on week ends or some cool evenings!
We punguza maandalizi ya happy hrs unapata muda kama una msingi one hour is about it almost daily and more than i hrs if you do aweekly basis.
Word nmepata kitu here
 
Mtaalamu wa haya mambo tuonane Nina mambo kazaa tuongee nipo Dodoma
 
Kama kuna mtu ana dojo kilimanjaro ani pm nahitaji mafunzo makali ya shotokan
 
Khamis nani mkuu

fb3acfe9330d108817264e65f7104b19.jpg
huyo mwenye suti
 
Mkuu inafaa kufatilia karate ni mchezo wa aina gani. Hakuna mcheza karate anaeweza kupigwa na mtu asie mtaalam wa ngumi mtaani. Ndo maana kukaanzishwa kick boxer. Kwa kua ili karate iwe mchezo wa jukwaani inabidi uwekewe sheria nyingi sana. Watu kadhaa walipoteza maisha kutokana na mchezo huu. Tanzania kulikua na master zero ambae alifariki kutokana na madhara aliyoyapata baada ya pambano na jimmy Castro. Kuna Jimmy Castro alifariki baada ya kupata madhara ya pambano na Khalifa kiumbe moto. Ndo ikakatazwa kupigana karate kama karate. Ni kick boxer Au karate iwe kama maonyesho
satani hivi yupo maana nae manzese alikua noma miaka hiyo
 
Back
Top Bottom