Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Kigoma noma, Kuna dogo mmoja anaitwa Msabaha,wakigoma nae ni moto
Achana na msabaha kaka,kigoma ni hazina hasa ya shotokan,walikuwepo akina kiyoka,sensey wangii,rama buronge,isaya, nk hao ni wakongwe,
 
Mkuu karate ni mchezo wa kijapani ambao unahusisha miondoko kadha wa kadha ya mikono katika kujilinda na kushambulia.
Judo nao ni mchezo wa kijapani ambao upo kama sumo ila huu una husisha kupigana lock, kuangusha angusha ni kama mieleka fulani hivi.

Kung fu - Huu ndio mchezo wa wanaume sasa asili yake ni China.
Kimuonekano ni soft sana lakini impact yake ni devastating.
Kwenye Kung fu ndio Unakuta forms aina mbali mbali kama shaolin ambapo ndani yake kuna michezo kama Snake, eagle claw, tiger claw, crane, mantis, monkey etc
Pia kwenye Kung fu inategemeana na mchezo wa sehemu na sehemu, koo na koo etc ndio maana kuna michezo kama drunken dragon (my favorite), Wing Chun (my favorite), Wu-Shu etc.
ambayo ilianzishwa na tamaduni za watu fulani.
Na mtu alie iva vizuri kwenye Kung fu karate na michezo mingine yote hawawezi kufua dafu hapo.
Mtu alie cheza Kung fu yeye na mchezo wanakua kitu kimoja.
Na walio fanikiwa kwenda deep kuna hadi UCHAWI humo.
Kung fu unasema wa wanaume?
Stop fooling pple,
Umewahi cheza shotokan karate,na km umewahi ni kwa grade ipi,
Kungu fu ni laini sana km gurjoruu,
Mbwembwe nyiiiingi,
Japo haiondoi ukweli kuwa nao ni effective
Shotokan karate do usiuchanganye na mambo malaini laini,
Shotokan wengi wanakimbia sababu ya ugumu wake,kung fu na gorjoryu na the kwon do inataka unyumbulifu basi,
Km haujacheza shotokan jaribu uone halafu useme tena kung fu ndo ya wanaume,
Watu wanacheza wamejireeeeemba na matambara na stensi za kureeeemba ndo unawaita wa kiume,ipo michezo iliumbwa kwa kuwarahishia akina mama wacheze
 
Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Wewe si karateka wewe umekarili terminologies tu za makarateka
 
Kuna jamaa yangu alikua expelled jeshini ambako alikua anachukua kozi ya ukomando hua anatupa tabu sana
Kipindi cha sparring, kuna siku walipiga sparring na marehemu Mashali ilikua burudani sana.
Sema huu mchezo haufai kufundisha vijana watakua wakabaji.
Karate ni siraha hatari kabisa wasio jua wanadharau,
 
Kiongozi kushinda Au kushindwa kwenye pambano ni kitu tofauti na uwezo. Unaweza kufanya makosa ukala kitasa Au kiki ya kukumaliza. Kitu nnachozungumzia kwa huyu bwana ni kua uwezo wake ni mkubwa sana. Amekua chini ya wakufunzi mbali mbali wakubwa nchini na nje ya nchi. Kwa uwezo aliokua na speed aliokua nayo kipindi Kile angeweza kupanda jukwaani na mpiganaji yoyote. Popote
Its about timing na usahihi wa pigo tu
 
Ahaaaaaa... Usiogope, we jichanganye tu anga zangu kisha utaleta mrejesho hapa
Projo tu,
Eleza unacheza mchezo gani,na ulifikia lever gani,nitajie nguzo za mchezo wako na baadhi ya kata zake
 
Karate unatumia hands and feet to deliver and block blows pia ni kwa ajili ya self defense karate origin yake ni japan

Kung inahusisha martial arts na mambo ya kiroho mfano kwenye kungu fu hata kabla hamjaanza mazoezi dojo lazima kuna sala muiseme na hata mkimaliza pia kung fu asili ni china.pia kung fu ina style nyingi mpaka zinazofanana na wanyama

Judo yenyewe wanajifunza zaidi jinsi ya kumzibiti adui kama kumdondosha na kumtia lock asifurukute mcheza judo anaitwa Judoka
Mhh makarateka wa jamii forum baba
Hivi martial arts ni nn
Maana umechanganya habari balaa
 
Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom