Utaalam upi.... Kaseba ameshaomba game mara nyingi kwa kharifa anakimbia..... Moja ya Watu kharifa kiumbe moto alikuwa anawaogopa ni japhet kaseba..... Mpaka kharifa anatoka kwenye ishu za ring hakuwahi kupigana na kaseba.... Licha ya kaseba kwenda na meneja wake BABYFACE zaidi ya mara 9 kharifa anachomoa.... Yaani mkuu kuhusu hawa Watu nawajua vizuri sana mimi nimetrain muay tai pale tambaza gym tukiwa na wakina kaseba, ziadi , inno, Ali tambaza,master msakala, putile Gama, husen mombwe (marehemu).... Kifupi kharifa alikuwa wa kawaida sana.... Seba mwanangulo tu alikuwa anamjambisha kharifa