Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ndio huyo wanamuita chief kiumbe the big boss?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je huyu anamuweza scorpion?Mkuu inafaa kufatilia karate ni mchezo wa aina gani. Hakuna mcheza karate anaeweza kupigwa na mtu asie mtaalam wa ngumi mtaani. Ndo maana kukaanzishwa kick boxer. Kwa kua ili karate iwe mchezo wa jukwaani inabidi uwekewe sheria nyingi sana. Watu kadhaa walipoteza maisha kutokana na mchezo huu. Tanzania kulikua na master zero ambae alifariki kutokana na madhara aliyoyapata baada ya pambano na jimmy Castro. Kuna Jimmy Castro alifariki baada ya kupata madhara ya pambano na Khalifa kiumbe moto. Ndo ikakatazwa kupigana karate kama karate. Ni kick boxer Au karate iwe kama maonyesho
Kiongozi kushinda Au kushindwa kwenye pambano ni kitu tofauti na uwezo. Unaweza kufanya makosa ukala kitasa Au kiki ya kukumaliza. Kitu nnachozungumzia kwa huyu bwana ni kua uwezo wake ni mkubwa sana. Amekua chini ya wakufunzi mbali mbali wakubwa nchini na nje ya nchi. Kwa uwezo aliokua na speed aliokua nayo kipindi Kile angeweza kupanda jukwaani na mpiganaji yoyote. Popoteje huyu anamuweza scorpion?
mwana mwanza anaemkumbuka master clay,huyu alikuwa habari ya mjini bwana alikuwa mpole mstaarabu lakini shughuli yake haikuwa yakitoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] boyka sio mtu mzuri.kama kuna mtu anapiga vile anitafute nimpe kazi, nimlipe.ivi ile michezo ambayo anacheza kama boyka kwenye movie ni aina gani aiseee... yani kama ile haipo kwenye hayo mliotaja hayo naona yatakua hayana maana kabisa
wansemaga inafanana sijui na kombat hata mi siujui naskiaga tuuivi ile michezo ambayo anacheza kama boyka kwenye movie ni aina gani aiseee... yani kama ile haipo kwenye hayo mliotaja hayo naona yatakua hayana maana kabisa
ndo wanijibu hao wajuzi aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] boyka sio mtu mzuri.kama kuna mtu anapiga vile anitafute nimpe kazi, nimlipe.
Sasa hiyo chifu kiumbe ndo kafikia hapo kuvaa miwani kama vioo vya mbele vya mandolini?
Majina yenyewe kuyaandika hujui. Itakuwa mchezo wenyewe?Kidogo naona anapata kuperuzi ulimwengu wa martial arts ulivyo
hongera sana...ila Shaurinj, Karate, combat, Taekwondo, Muai Thai, Kung Fu, Gurujuuu....hiyo
tuliisha stafu kitambu kirefu.
Ahaaaaaa... Usiogope, we jichanganye tu anga zangu kisha utaleta mrejesho hapaMajina yenyewe kuyaandika hujui. Itakuwa mchezo wenyewe?
ulitaka kusemaje kwaniHabari ya mjini??..ahaa nimekupata sasa kumbe mjini mwanza? basi sawa
Sio huyu hata kidogo. Wengi wametumia jina hilo kutokana na kujifafanisha kwa kumpenda huyu. Alipokamatwa huyo unayemsema na kuona kwenye gazeti wengi tulistuka. Tukamtafuta sensei akasema nipo. Ni vijana walionipenda hao. Yani ni kama watu kujiita dame mkuu. .... mpaka huyu maarufi anaeimbwa kila siku hilo jina katoa hapo kwa huyu senseikwani aliyeko jela si huyu chief kiumbe, yule aliyekuwa na wolper, au sio huyu, nauliza tu
Na wushu,taekwondoNaomba kujua tofauti ya Karate, Judo na Kung Fu
Mkuu,kuongea sana si dalili ya ushujaa wala kukaa kimya si kigezo cha kuwa dhaifu.Ahaaaaaa... Usiogope, we jichanganye tu anga zangu kisha utaleta mrejesho hapa
Alizicheza wapi? Aje Mtaani Aoneshe Kwa Vitendo Dhidi yangu halafu ndio utajua wapiga karate wapo wengi tu mahiri ila ni wa kimya kimya - no misifa. Try meJe unamkumbuka khalifa kiumbe moto? Ndie mchezo karate, kick boxer na judo mahiri zaidi aliyewahi kutokea tanzania. Alivuma sana mwishoni mwa miaka ya tisini. Jina lake Ni Khalifa.... mjukuu wa mzee khalifani kiumbe. Msomi wa dini ya kiislamu aliyekua maarufu sana.
khalifa Kiumbe alikua na speed ya ajabu iliyompa haki ya kuitwa moto. Ndio sababu akabatizwa khalifa kiumbe moto.
Na Kila move aliyofanya Au pigo alilopiga jukwaani alisikika kwa sauti ya chini kama ya kufoka lakini yenye command akisema motooo. ..
Kutokana na speed aliyokua nayo na ukweli kua yeye ni mjukuu wa chief. Chief khalfani kiumbe wadau wakamwita chief kiumbe. Kumbuka kiumbe ni jina lake.
Na ni Kutokana na huyu ndipo wakatokea watu kadhaa waliojiita kiumbe moto, chief kiumbe na kadhalika.
Moja kati ya pambano ambalo halijawahi kitokea tena tanzania ni pombano lake na Jimmy Castro ambae alisalimu amri round ya saba baada ya kunyanyaswa vibaya jukwaani. Kiumbo khalifa alionekana mdogo. Lakini kama alivyowahi kusema. Puto kubwa linatolewa upepo na sindano ndogo sana. Huyu bwana alikua balaa. Huyu bwana alikua moto. Huyu bwana ni chief kiumbe. Motooo. .
![]()
Mfa maji hakosi kutapa tapaMkuu,kuongea sana si dalili ya ushujaa wala kukaa kimya si kigezo cha kuwa dhaifu.
Ni kweli unayosema. Ila haikua tangazo la kutafuta pambano. Hatafuti sifa. Tuliomfahamu tumemkumbuka kwa kua ni mwalimu wetu. Kama una uwezo wa kimpiga uweke kwa mwenye uwezo unaolingana na wako. Asante sanaA
Alizicheza wapi? Aje Mtaani Aoneshe Kwa Vitendo Dhidi yangu halafu ndio utajua wapiga karate wapo wengi tu mahiri ila ni wa kimya kimya - no misifa. Try me