Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Tunaweza kukupa fight na kijana wake mkuu
b01225b3f8958b41d97320419a90e5a0.jpg
huyo Ni zaidi khamis ambae ni mwanafunzi wa khalifa na lea sasa ndie mwalimu wa timu ya taifa ya judo Tanzania. Ambayo ilishinda Africa na kushika namba nne kwenye mashindano ya dunia. Mngefatilia mngeona vyombo vya habari vya nje vilikua vikiripoti hata walipochelewa kuingia uwanjani kwa kua walikua wakisubiri kuazimwa gii za michezo na wachezaji wa Ghana
 
Naomba kujua tofauti ya Karate, Judo na Kung Fu
Mkuu karate ni mchezo wa kijapani ambao unahusisha miondoko kadha wa kadha ya mikono katika kujilinda na kushambulia.
Judo nao ni mchezo wa kijapani ambao upo kama sumo ila huu una husisha kupigana lock, kuangusha angusha ni kama mieleka fulani hivi.

Kung fu - Huu ndio mchezo wa wanaume sasa asili yake ni China.
Kimuonekano ni soft sana lakini impact yake ni devastating.
Kwenye Kung fu ndio Unakuta forms aina mbali mbali kama shaolin ambapo ndani yake kuna michezo kama Snake, eagle claw, tiger claw, crane, mantis, monkey etc
Pia kwenye Kung fu inategemeana na mchezo wa sehemu na sehemu, koo na koo etc ndio maana kuna michezo kama drunken dragon (my favorite), Wing Chun (my favorite), Wu-Shu etc.
ambayo ilianzishwa na tamaduni za watu fulani.
Na mtu alie iva vizuri kwenye Kung fu karate na michezo mingine yote hawawezi kufua dafu hapo.
Mtu alie cheza Kung fu yeye na mchezo wanakua kitu kimoja.
Na walio fanikiwa kwenda deep kuna hadi UCHAWI humo.
 
Kiumbemoto ni kipaji kilichopotea kutokana na mazingira ya nchi. Ndo mana tulomuona tunampa heshima. Ni kama kina malota soma. Zamoyoni mogella. Mshairi mahiri Mzee Andanenga na wengi wengine.
mkuu unapata tabu kubishana na vijana wa bongo movie na bongo fleva,wanachojua ni kujipodoa na kutundika picha Insta etc, Wenye kujua huu mchezo,tunaheshimu sana kujitoa kwa watu wa aina ya chief Kiumbe
 
Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Anyway lengo halikua kuanzisha ubishi wala kujua kama Kuna mtu anaweza kusimama nae kwa sasa. Lengo ni kukumbuka vipaji vilivyopotea kutokana na mfumo mbaya wa nchi yetu kwenye sera ya michezo
 
Anyway lengo halikua kuanzisha ubishi wala kujua kama Kuna mtu anaweza kusimama nae kwa sasa. Lengo ni kukumbuka vipaji vilivyopotea kutokana na mfumo mbaya wa nchi yetu kwenye sera ya michezo
Kwani kipaji kimepotea...au uzeee ume mnyemelea.??
 
mkuu unapata tabu kubishana na vijana wa bongo movie na bongo fleva,wanachojua ni kujipodoa na kutundika picha Insta etc, Wenye kujua huu mchezo,tunaheshimu sana kujitoa kwa watu wa aina ya chief Kiumbe
Asante mkuu. Ni kweli. Mana hata mimi nilikua nakumbushia vipaji vilivyopotea
 
mkuu unapata tabu kubishana na vijana wa bongo movie na bongo fleva,wanachojua ni kujipodoa na kutundika picha Insta etc, Wenye kujua huu mchezo,tunaheshimu sana kujitoa kwa watu wa aina ya chief Kiumbe
Ila inasikitisha sana kua mtu kama Kiumbe moto na watu kama hao leo hawajulikani na mtu anaweza kuja kuongea atakavyo juu yao. Ilikua tuwape heshima. Tuwaenzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom