TANZIA Mcheza kikapu wa zamani wa NBA, Dikembe Mutombo afariki dunia akiwa na miaka 58

TANZIA Mcheza kikapu wa zamani wa NBA, Dikembe Mutombo afariki dunia akiwa na miaka 58

Wakongo bana😂 walipoambiwa na Mobutu kuchagua majina ya asili inaonekana walienda fasta ofisi za serikali kutaja majina hovyo

Ni kawaida kusikia mtu anaitwa ndala, mutombo, bila shaka wapo wanaitwa kiazi
Mobutu mwenyewe alijiita kuku wa zabangq
 
Niliwahi kusikia Mwanamuziki wa Congo MBUTA LIKASO akilitaja jina la DIKEMBE MUTOMBO kwenye wimbo wake maarufu niupendao 'Attention Obus".

Na mimi nilikuwa nafikiri huyo Dikembe ni Pedezee fulani aliyeko hapo Congo kama akina Nene Nzimi, Saddam Hussein,n.k maana Wanamuziki wa Congo hupenda kutaja taja majina ya Mapedezee kwenye nyimbo zao.
 
A sad day

Alış Aisia sana watu wa nchi yake, aliwapa many social support na kujenga hospitali and other facilities

Pia alileta heshima sana nba

He used his statue well
 
Picha yake.
Screenshot_2024-09-30-20-03-28-1.png
 
Naikumbuka interview yake moja alifanya na jarida la afrika niliiona itv miaka hiyo, alihojiwa pia mzee wake ambaye alikuwa kongo, mzee akaonyesha benz aliyonunuliwa na mwanaye Dikembe. Mzee akawa anasema akipita kitaa watu wanasema" papaa is millionaire "
 
Niliwahi kusikia Mwanamuziki wa Congo MBUTA LIKASO akilitaja jina la DIKEMBE MUTOMBO kwenye wimbo wake maarufu niupendao 'Attention Obus".

Na mimi nilikuwa nafikiri huyo Dikembe ni Pedezee fulani aliyeko hapo Congo kama akina Nene Nzimi, Saddam Hussein,n.k maana Wanamuziki wa Congo hupenda kutaja taja majina ya Mapedezee kwenye nyimbo zao.
Saddam Hussein aliishi Duniani miaka 28 tu but he had it all. Alikuwa anaenda checkup ulaya. Alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana

Wanasema aliishi na wanawake wawili ndani ya nyumba moja. Mmoja alikuwa wa ulaya mwingine wa congo
 
Aiseee kuna watu wamekula maisha sana. Ndio maana ametajwa sana kwenye nyimbo nyingi za Wanamuziki wa Congo. Saddam Hussein 'Papaa'.
 
Aiseee kuna watu wamekula maisha sana. Ndio maana ametajwa sana kwenye nyimbo nyingi za Wanamuziki wa Congo. Saddam Hussein 'Papaa'.
Ndio. Jamaa biashara zake alikuwa anaingiza Usd nk. Kuna siku nilifuatilia documentary fulani youtube ya maisha ya matajiri wa congo wana pesa sana
 
RIP Mutombo

ALimshauri ndugu yetu Hasheem asiingie kwenye draft mwaka ule lakini hakusikilzwa. Matokea yake Hasheem hakudumu NBA. Alimtaka Hasheem afanye mwaka mmoja tena wa college kule Connecticut kwa vile training ya college ni nzuri na more friendlier kuliko ya NBA na aliamini kuwa pamoja na performance nzuri aliyokuwa nayo Thabeet wakati huo hakuwa Tayari kwa mikiki mikiki ya NBA. Laiti Thabeet angemsikiliza wakati huo.
 
Back
Top Bottom