TANZIA Mcheza kikapu wa zamani wa NBA, Dikembe Mutombo afariki dunia akiwa na miaka 58

TANZIA Mcheza kikapu wa zamani wa NBA, Dikembe Mutombo afariki dunia akiwa na miaka 58

RIP Dikembe Mutombo

Ila bongo wapenzi wa kikapu bado hawana buzz na WNBA hata kwenye hizi playoff.

Ooh epic ending to game two between Liberty and Aces, a show down between Sabrina Ionescu and Aja Wilson.

IMG_7586.jpeg


Off to the Next one ‘Connecticut v Minnesota’.
 
kumjua huyu ni lazima uwe mtoto wa kishua,umeishi Masakai,Obei,Mikocheni n,k.

Nyinyi wa Mbagala subirini mada za TFF na Karia.
 
Pumziko amani apate. Nilimjua na kumfuatilia kupitia ITV,mwanzoni walikuwa wanaonesha NBA,kila jmosi kama sikosei.plus na jina lilikuwa na mvuto kulitamka.
 
Back
Top Bottom