Mayor Quimby JF-Expert Member Joined Mar 13, 2021 Posts 4,950 Reaction score 10,977 Oct 2, 2024 #41 RIP Dikembe Mutombo Ila bongo wapenzi wa kikapu bado hawana buzz na WNBA hata kwenye hizi playoff. Ooh epic ending to game two between Liberty and Aces, a show down between Sabrina Ionescu and Aja Wilson. Off to the Next one ‘Connecticut v Minnesota’.
RIP Dikembe Mutombo Ila bongo wapenzi wa kikapu bado hawana buzz na WNBA hata kwenye hizi playoff. Ooh epic ending to game two between Liberty and Aces, a show down between Sabrina Ionescu and Aja Wilson. Off to the Next one ‘Connecticut v Minnesota’.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Oct 2, 2024 #42 kumjua huyu ni lazima uwe mtoto wa kishua,umeishi Masakai,Obei,Mikocheni n,k. Nyinyi wa Mbagala subirini mada za TFF na Karia.
kumjua huyu ni lazima uwe mtoto wa kishua,umeishi Masakai,Obei,Mikocheni n,k. Nyinyi wa Mbagala subirini mada za TFF na Karia.
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,311 Reaction score 9,027 Oct 2, 2024 #43 Pumziko amani apate. Nilimjua na kumfuatilia kupitia ITV,mwanzoni walikuwa wanaonesha NBA,kila jmosi kama sikosei.plus na jina lilikuwa na mvuto kulitamka.
Pumziko amani apate. Nilimjua na kumfuatilia kupitia ITV,mwanzoni walikuwa wanaonesha NBA,kila jmosi kama sikosei.plus na jina lilikuwa na mvuto kulitamka.