Kwanini sio?Au sio 😃
KwaniniAmemuweka hapo kwa sababu ameshakufa angemweka akiwa hai ndiyo angeijua shughuli yake!
But mboni kama pichani binti anaonekana kama anamung’unya/ananyonya kitu?nini kimejificha nyuma yake ina maana alikosa hata picha yake akitabasamu yeye akaweka hiyo?
Kwa sumulizi mbofu mbofu kuwahusu, mtu hawezi kujichoresha kuwachora, bali atafanya nao mahusiano kwa siri kama aendavyo haja kwa siri.Safi , hawa kina mwajuma kidala wetu nao ifike mahali tuwachore na sisi🍻
Kina mwajuma wala hawana baya bwashee ni wewe unashindwa kuwaelewa😊Kwa sumulizi mbofu mbofu kuwahusu, mtu hawezi kujichoresha kuwachora, bali atafanya nao mahusiano kwa siri kama aendavyo haja kwa siri.
Amalizapo kujisaidia, basi hubakia ni siri ya faragha yake.