Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
 
Hapana; atatakiwa asubiri hadi dirisha la usajiri lifunguliwe. Sidhani kama Dube anahusisha na timu yoyote ya ndani kwani timu kubwa za Yanga na Simba tayari zimeshajaza nafasi zao za wachezaji wa nje labda ziachie Mchezaji mmoja na kulipa fidia jambo ambalo halina busara kuingia gharama za kuvunja mikataba miwili bila kuwa na uhakika wa kupata faida yoyote hasa kwa vile Dube Ana frequency kubwa sana ya majeruhi
 
Mikataba daima ni Siri Kati ya wawili labda wakubaliane kuweka Wazi. Za ndaani kabisa Guede na Freddy Wana mikataba ya miezi 6 tu.
 
Back
Top Bottom