Mchezaji bora wa Mwezi Yanga kulamba milioni nne.

Ukoloni mchezaji bora wa mwezi anapewa 1ml na outer moja ya MO Energy.
 
Hapo napata shida kuamua, Kwa upande wa Aziz Ki msimu huu amebadilika sana, anajituma na kuzitumia nafasi vizuri kufunga. Kwa upande wa Max Nzengeli hivyo hivyo, Anajituma ma anajua kutafuta nafasi na kutengeneza assist zinazozaa magoli, Kimsingi yeyote hapò anastahili, Au wagawane mil 2 kila mmoja.
 
Ahsante kwa taarifa.
 
Si vibaya jambo zuri kuigwa.

Tena mmelifanyia na upgrade kwa kuongeza kiasi cha pesa anachopewa mshindi.

Hatua nzuri
Kwa akili yako ndogo kama kinyesi cha paka, unadhani kua Yanga ni marayake ya kwanza kutoa tuzo ya mchezaji bora ya mwezi?

Kuna watu wakiandika upuuzi huu sishangai, ila sio wewe mkuu.

Mfano CAPO DELGADO, kaanza kufatilia ligi yetu kipindi inaonyeshwa Azam tv, hivyo huwa simchukulii serious, ila wewe hapa umepuyanga.
 
Yaani hawa jamaa wanatia aibu sana,wanaweka unazi na ubishi wa kijinga mpaka wanajishushia hadhi.
 
Yaani hawa wanajitoa ufahamu kwakujimilikisha kila kitu kinachohusu mpira wa Bongo,sijui ni depression au nini.
Alafu wasichokijua hiyo tuzo hapo Yanga sio marayake ya kwanza kutolewa.
Ilikuepo tangu zamani, sema naona wameamua kuirudisha.

Tatizo kuna watu wameanza kuifatilia ligi yetu kipindi Azam tv walipoanza kuionyesha.

Ukichanganya na umbumbumbu wao ndio tabu kabisa.
 
Hawa wameanza kufuatilia mpira baada ya Simba kuingia hizi robo robo zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…