Mchezaji Clotous Chama hajasafiri na Simba kwenda Dodoma

Mchezaji Clotous Chama hajasafiri na Simba kwenda Dodoma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Hiyo ndiyo taarifa rasmi. Ni mshtuko mkubwa. Watu hawaelewi. Sababu haijulikani. Mchezaji tegemeo Clotous Chama almaarufu mwamba wa Lusaka hajasafiri na timu yake kwenda Dodoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu Jumapili Jan 22/2023.

Wajuzi mtujuze. Nimekuwekea picha za Chama na Kocha wa Kimataifa wa Simba atokaye Brazil

.
1674219480955.jpg

View attachment 2488904
 
Kama ni laki moja basi kipindi kijacho atachelewa mwezi mzima maana zitajilipa kwenye mshahara wake wa 23M na atabaki na chenji ya 20M bila kucheza
Mshahara wake ni milioni 20+?
 
Back
Top Bottom