Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
KarudiUnaacha kufatilia kama Morison amerudi unafatilia habari za Simba
Aliumia kwenye mazoezi?Si ana injury unataka kupandikiza chuki
Kama ni laki moja basi kipindi kijacho atachelewa mwezi mzima maana zitajilipa kwenye mshahara wake wa 23M na atabaki na chenji ya 20M bila kucheza
Kwenye 26M unatoa 100K unafikiri hiyo ni adhabu?
Hesabu ni janga la TaifaKwenye 26M unatoa 100K unafikiri hiyo ni adhabu?
Next time watafanya makosa hayo hayo kwasababu kwao 100K sio kitu
Mbumbumbu wakati wenzako walikua wanaimba table wewe unajificha chooniKama ni laki moja basi kipindi kijacho atachelewa mwezi mzima maana zitajilipa kwenye mshahara wake wa 23M na atabaki na chenji ya 20M bila kucheza
We unayejua hesabu tuambie ni siku ngapi walizo chelewa kuripoti kambiniHesabu ni janga la Taifa
Ingia Yanga appWe unayejua hesabu tuambie ni siku ngapi walizo chelewa kuripoti kambini
Vipi mkataba wa feitoto mmeacha kuufuatilia?Unaacha kufatilia kama Morison amerudi unafatilia habari za Simba
Mshahara wake ni milioni 20+?Kama ni laki moja basi kipindi kijacho atachelewa mwezi mzima maana zitajilipa kwenye mshahara wake wa 23M na atabaki na chenji ya 20M bila kucheza