Mchezaji Clotous Chama hajasafiri na Simba kwenda Dodoma

wakati wenzako walikua wanaimba table wewe unajificha chooni
Sasa 100,000/= x 30 unapata sh. ngapi kama sio 3M ? Hiyo 3M si anailipa tu kutoka kwenye mshahara wake wa 23M na anabaki na chenji 20M ? Nadhani wewe hesabu ndio zimekupitia pembeni
 
Mshahara wake ni milioni 20+?
Hivi unadhani Injinia anavyokasirikaga akiona mla mihogo anaukosoa uongozi, unadhani huwa hana sababu? Ishu ni hiyo, anaona wadhamini wao wanakata hela ndefu kwa mtukutu halafu wala mihogo wanapiga makelele tu
 
Nimekuuliza swali jepesi sana umeleta ngonjera kibao. Nimekuuliza mshahara wake ni zaidi ya milioni 20? Ni swala la kujibu ndio kama una uhakika au hapana au sijui.
 
Sasa 100,000/= x 30 unapata sh. ngapi kama sio 3M ? Hiyo 3M si anailipa tu kutoka kwenye mshahara wake wa 23M na anabaki na chenji 20M ? Nadhani wewe hesabu ndio zimekupitia pembeni
Endelea kupigia hesabu hela za wanaume wenzako
 
Kikosi cha Simba kimetua jijini Dodoma na wachezaji 19 huku nyota wake 9 wakibakia Dar kutokana na sababu mbalimbali. Simba imesafiri na wachezaji wake wote wapya waliosajiliwa dirisha dogo la usajili Mohamed Mussa, Isamel Sawadogo na Jean Baleke. Watakaosekana ni ⬇️

MAJERUHI
Moses Phiri, Clatous Chama, Jonas Mkude, Henock Inonga na Peter Banda.

ADHABU YA KADI TATU ZA NJANO.
Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin, Joash Onyango na Pape Sakho.

#mwanaspoti
 
Saidoo vp?
 
Hpa Kazi sana...
 
Wazee wa kukuza mambo
Chama anaumwa, na ameomba mwenyewe asiende Dodoma
 
Chama, Mzamiru, Kanoute na Onyango, woye wataikosa mechi ya Simba na DODOMA JIJI. Kwa mfumo ule TUTATOKA KWELI…???
Wacha wakosekane, timu lazima ikacheze kwa juhudi za kutafuta ushindi, na kufungwa hakuwezi kuwa ni excuse ya kuwakosa hao.

Never.
 
Ila kwa formation uchwara za huyo mbrazil fake naona timu inarudi kuwa tiatia maji kama enzi za kishingo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…