Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sasa 100,000/= x 30 unapata sh. ngapi kama sio 3M ? Hiyo 3M si anailipa tu kutoka kwenye mshahara wake wa 23M na anabaki na chenji 20M ? Nadhani wewe hesabu ndio zimekupitia pembeniwakati wenzako walikua wanaimba table wewe unajificha chooni