Mchezaji Clotous Chama hajasafiri na Simba kwenda Dodoma

Sasa 100,000/= x 30 unapata sh. ngapi kama sio 3M ? Hiyo 3M si anailipa tu kutoka kwenye mshahara wake wa 23M na anabaki na chenji 20M ? Nadhani wewe hesabu ndio zimekupitia pembeni
Kwa akili zako unadhani mtu mwenye 23M akipoteza 1M haumiii? endelea kukaa kwa shemeji bado hauja jua ugumu wa maisha
 
Au ya Fei Toto yamejitokeza upande wa pili?
 
Huyu kocha adhibitiwe
 
7
Kuna mambo ya Maana sana ya kuyajadili.


1. Uuzwaji wa Mabasi na magari kiholela, kwanini wasiwape MASHABIKI Ile Gali kulitumia kusafiria mikoani wakawa wanajichanga Hela zinaenda kwenye Club

2. Magori ya kizembe sana Anayofungwa Manura.

3. Injury za wachezaji Muhimu.
Maendeleo ya Inonga na Phili.

4. Wachezaji Mizigo kama kanute kupunguza mirafu yake
Kukosekana kwa wachezaji zaidi ya Saba.

5 kuelekea uchaguzi mkuu Simba nk
Mapato ya Club kwa Mwaka...
JE yabafanya nini nk nk

6. Usajili mbovu wa Dirisha dogo kuwakosa wachezaji wazuri.


SEMA WENGI AKILI ZETU NI MUFILISI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…