ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kwa akili zako unadhani mtu mwenye 23M akipoteza 1M haumiii? endelea kukaa kwa shemeji bado hauja jua ugumu wa maishaSasa 100,000/= x 30 unapata sh. ngapi kama sio 3M ? Hiyo 3M si anailipa tu kutoka kwenye mshahara wake wa 23M na anabaki na chenji 20M ? Nadhani wewe hesabu ndio zimekupitia pembeni