Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #181
Wanakwambia Kombe la Dunia la mwaka 1974, katika mechi ya Fainali, Uholanzi dhidi ya Mwenyeji Ujerumani Magharibi, kombinesheni ya Neeskes na Cruyff inawafanya Uholanzi kupata goli pasipo mchezaji yoyote wa Ujerumani kugusa mpira.Frank Rijkaard
Michael van Basten
Ronald koeman
Kluivert
Rudy
seedorf
Edgar davis
Mark overmars
Bergkamp
Van dar ser
Van de gour
Van perse
De bour brothers
Na wengine wengi ni kizazi tosha cha kuweza kutwa makombe lakini sijui kitu gani hapo kilikosekana.
Ila Wajerumani wakafanya kitu flani ambacho hata Waholanzi hawakutegemea, Hapa ndipo ule usemi wa " Never underestimate the Germans " ulipokuja. WAJERUMANI wakasawazisha na kupiga la goli la Ushindi na kubeba ndoo yao.
Ila Wadachi hawana bahati kabisa, maana miaka minne baadae walipoteza tena Fainali kwa mwenyeji Argentina lakini safari wakiwa bila staa wao Cruyff ambaye aligoma kwenda kwenye michuano hiyo kutokana na sababu za kisiasa.