eliasmbwambo
Member
- Apr 6, 2017
- 5
- 0
Bado hajastaafu, yupo MLSPirlo
Nakuunga mkono kwa Paul Scholes.Zinedine zidane na paul scholes.
Fumo felician, Majidu Musiss, Austin Jay-Jay Okocha, Daniel Amakochi, Patric MbomaLEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba pengo lake licha ya uwepo wa Messi na Ronaldo, wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.
Je wewe ukiwa kama shabiki na mpenzi wa soka, kama siku zingerudi nyuma ni Mchezaji gani wa soka aliyestafu ungetamani umuone akisakata tena kabumbu?
At least wewe umeusuuza moyo wangu. Hapo pa Garincha...alitufanyia mazuri Sana real Madrid,Pele mabao nae duh!!! Halafu kuna Ronaldo de Lima na Gaucho minjino. Salute zangu ziende kwa hivo vifaa bila kuwasahau Kaka na double Z (zidane) mzee wa migoli ya faulo..bila kumsahau kipenzi changu XAVI all the way from Barcà.Alberto de Stefano na Garincha na Pele Mabao
Huyu ni Garincha yupi alikipiga Man United?daaaaaaaah!!ama ndio mbwembwe za kina Sokomoko na TediAt least wewe umeusuuza moyo wangu. Hapo pa Garincha...alitufanyia mazuri Sana Man United enzi zile,Pele mabao nae duh!!! Halafu kuna Ronaldo de Lima na Gaucho minjino. Salute zangu ziende kwa hivo vifaa bila kuwasahau Kaka na double Z (zidane) mzee wa migoli ya faulo..bila kumsahau kipenzi changu XAVI all the way from Barcà.
Inaonekana ww ulikuwa mpenzi mkubwa wa kununua bigijiiii za wachezaji
- Diego armando maradona
- Ustadh Zinedine zidane zizzou
- Juan roman requelme fundi huyu jamaa
- De lima
- Crespo
- Redondo
- Henry
- Davo suker
- Hassan sas and hassan shukur
- Pablo aimar...n.k
Nilimix madesa buana wee. Ni wa real Madrid atiiii sio wa OTHuyu ni Garincha yupi alikipiga Man United?daaaaaaaah!!ama ndio mbwembwe za kina Sokomoko na Tedi